- Thread starter
- #21
Kwani unataka kusemaje? Kwamba polisi/usalama hawahusiki na huu utekaji? Kuna majambazi siku hizi wana jiamini na kutembea wakiteka watu kwa bunduki na pingu?Tena hadharani!!!
Umeona kuwa hizi ni nukuu zilizosikika ambapo ni katika kujiuliza which is which?
Kwamba hata hii ya Tashrif kumtelekeza mzee yule wakimjua vyema hutaki kujiuliza?
Kwamba ni nani mwenye dhamana yoyote kwenye lipi anaweza kujipa u halali upi?