Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Trying to make sense of this thread.

Mleta mada unajaribu kutuelekeza kwenye hoja kwamba "viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe ni wahusika au washirika katika hili sakata"? Kwamba wanajua undani wake kuliko wanavyoeleza?

Still trying to make sense?
 
Kwamba mwamba ni mwenzao?
 
Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!

Salamaleko Ustaadhi:

Your browser is not able to display this video.
 
Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!

Salamaleko ndugu, kukumbuka kungalipo?
 
Kwani kuna nini limebadilika? Mzee kibao amefufuka? Waliomteka na kumuua wamekamatwa?

Ilikuwa ni salamu tu ndugu, ila ngoja tusimike chairman kwanza, tutawarejea machawa wote.

Angalau hata kuwasabahi tu.

Au hata salamu nazo hamtaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…