Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

Master Oogway

Senior Member
Joined
Jul 7, 2022
Posts
141
Reaction score
342
Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA

Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa NchišŸ™

Waafrika (isomeke watu weusi duniani kote) hatujui tunachokitaka acha tu wazungu waendelee kutuibia na kututawala mpaka Yesu atakaporudi. Kila mtu anawaza kuiba na kujinufaisha yeye, familia yake na marafiki. There is no hope for Africans labda ifike mahali tubadili kabisa falsafa na mitazamo yetu. Na hii itachukua vizazi kadhaa.

JPM alikuwa kiongozi sahihi kuhusu ubabe wa kiuchumi na angekuwa savy na kuacha tu kutumia maguvu kwa waliomkosoa angeifikisha nchi hii pazuri sana. Hakukuwa na haja ya kuvunja haki za binadamu na kuchafua demokrasia namna ile. Angekuwa savy kama mama pengine angekuwa hai na tungekuwa tunasonga mbele
 
Huyu mtu alikuwa bingwa wa unafiki anatangaza amani huku ameficha mapanga mgongoni,kama kweli alikuwa mwema kiasi hicho kwanini aliwabambikia kodi na kuwapora fedha kwenye akaunti zao benki!
Leta ushahidi kama alivyoleta Mleta UZI tulinganishe na ikiwezekana akaunti na majina ya benk zilizochukuliwa pesa..
 
Leta ushahidi kama alivyoleta Mleta UZI tulinganishe na ikiwezekana akaunti na majina ya benk zilizochukuliwa pesa..
Wewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.
Ni juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa CRDB kaeleza jinsi akaunti za watu zilivyokuwa zikipigwa pini.
 
Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA

Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa NchišŸ™

View attachment 2628516
Tushafunga mjadala . Hayati Magufuli ni Mtakatifu.

Wacha wengine wapige kelele
 
Wewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.
Ni juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa CRDB kaeleza jinsi akaunti za watu zilivyokuwa zikipigwa pini.
Weka ushahidi

Usilete porojo za kingese
 
Back
Top Bottom