Waafrika (isomeke watu weusi duniani kote) hatujui tunachokitaka acha tu wazungu waendelee kutuibia na kututawala mpaka Yesu atakaporudi. Kila mtu anawaza kuiba na kujinufaisha yeye, familia yake na marafiki. There is no hope for Africans labda ifike mahali tubadili kabisa falsafa na mitazamo yetu. Na hii itachukua vizazi kadhaa.
JPM alikuwa kiongozi sahihi kuhusu ubabe wa kiuchumi na angekuwa savy na kuacha tu kutumia maguvu kwa waliomkosoa angeifikisha nchi hii pazuri sana. Hakukuwa na haja ya kuvunja haki za binadamu na kuchafua demokrasia namna ile. Angekuwa savy kama mama pengine angekuwa hai na tungekuwa tunasonga mbelli