Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Sasa kwa nin unatukana kama kweli ww una akili😂😂😂Wewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.
Ni juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa CRDB kaeleza jinsi akaunti za watu zilivyokuwa zikipigwa pini.