yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Tatizo kubwa ulilo nalo wewe si elimu,ni malezi yako,kukosa kwako maadili ndiko kunakufanya umchukie jpm,watu woote wema hawana tatizo na jpm,lkn watu waovu kama wewe ni lazima ujenge chuki na jpmWewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.
Ni juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa CRDB kaeleza jinsi akaunti za watu zilivyokuwa zikipigwa pini.
Aliporwa michango yake baada ya kutumbuliwa vyeti fekiWewe uliporwa kiasi gani mdosi?
Ndio unapoongea na kumtuhumu mtu weka ushahidi hiyo ni majungu mnaongea bila ushahidiSasa hata ushahidi wenyewe alete hapa ?Mpeleke mahakamani ili unachokitaka kifanikiwe ila hapa ni upuuuzi tu kudhania upo sahihi au yupo sahihi
Waafrika (isomeke watu weusi duniani kote) hatujui tunachokitaka acha tu wazungu waendelee kutuibia na kututawala mpaka Yesu atakaporudi. Kila mtu anawaza kuiba na kujinufaisha yeye, familia yake na marafiki. There is no hope for Africans labda ifike mahali tubadili kabisa falsafa na mitazamo yetu. Na hii itachukua vizazi kadhaa.
JPM alikuwa kiongozi sahihi kuhusu ubabe wa kiuchumi na angekuwa savy na kuacha tu kutumia maguvu kwa waliomkosoa angeifikisha nchi hii pazuri sana. Hakukuwa na haja ya kuvunja haki za binadamu na kuchafua demokrasia namna ile. Angekuwa savy kama mama pengine angekuwa hai na tungekuwa tunasonga mbelli
we zumbukuku endelea kudanganywa na hayo maneno ya kitapeli. Alisacrifice maisha yake kwa ajili yake, familia yake na genge lake we ngedere"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~
Hayati. John Magufuli.
itakutafuna we na mamako
yule alikuwa tapeli na nabii wa uongo aliyewahi kupata nafasi ya uraisRaisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA
Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
View attachment 2628516
Utaje majina yao na walikuwa wanafanya biashara gn,Sina mihela ya kuporwa ila watu kadhaa ninaofahamiana nao wamepatwa na dhahama hiyo na wengine bado wameyumba hadi leo.
Sawa,endelea kusubiri majina yao.Utaje majina yao na walikuwa wanafanya biashara gn,
Endelea kusubiri.Nitajie wawili tu unaowajua wewe,
Matusi ya nn sasa mkuu?we zumbukuku endelea kudanganywa na hayo maneno ya kitapeli. Alisacrifice maisha yake kwa ajili yake, familia yake na genge lake we ngedere
Point yako ni ipi?? Tunahitaji kiongozi kama JPM au kama huyu wa Sasa,?Waafrika (isomeke watu weusi duniani kote) hatujui tunachokitaka acha tu wazungu waendelee kutuibia na kututawala mpaka Yesu atakaporudi. Kila mtu anawaza kuiba na kujinufaisha yeye, familia yake na marafiki. There is no hope for Africans labda ifike mahali tubadili kabisa falsafa na mitazamo yetu. Na hii itachukua vizazi kadhaa.
JPM alikuwa kiongozi sahihi kuhusu ubabe wa kiuchumi na angekuwa savy na kuacha tu kutumia maguvu kwa waliomkosoa angeifikisha nchi hii pazuri sana. Hakukuwa na haja ya kuvunja haki za binadamu na kuchafua demokrasia namna ile. Angekuwa savy kama mama pengine angekuwa hai na tungekuwa tunasonga mbele