Nukuu za wachambuzi maarufu Baada ya mechi ya Simba (wakimataifa)

Mi nashangaa sana kwanza simba wanayoitaka wao miaka yote imeishia robo fainali ngoja niione hii simba wanayosema wao mbovu itafika wapi
Mpira ni mbinu na kila mwaka unaoongezeka Simba wanajifunza mbinu za kushinda katika mpira wa Afrika. Uzoefu na maumivu ya kushindwa siku za nyuma katika mechi muhimu ukitumiwa vizuri, Simba atafikia malengo yake msimu huu ambayo ni nusu fainali.
 
Vipers ya bila bobosi. Manzoki ......kama ingecheza na ihefu...viper ingekula nyingi
Tangu Simba imeanza kwenda hatua ya robo fainali kimataifa kuna siku ilionekana imekutana na timu ngumu ?
Wabongo wengi Simba akishinda zinapatikana sababu,akifungwa timu mbovu tumeshawazoea.
Kabla ya mechi ya Vipers wengi mlisema Simba anafungwa,kashinda vipers wamegeuka kuwa wabovu.
 
Wivu tu[emoji4]
 
Performance ipi hiyo ? Anyway huku ni kwa mabingwa kila timu ni ngumu . Timu vibonde zote zilifuruhushwa na kuelekea kwenye mashindano sawa na uwezo wao.
Simba mlipita Kwa bahati....but robo hamtoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…