makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
HAPANAView attachment 2541461
Form is temporary
Class are permanent
Msiichukulie Simba poa
Imekwisha set CLASS yake kimataifa
TUMU BOVU SANA HILO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPANAView attachment 2541461
Form is temporary
Class are permanent
Msiichukulie Simba poa
Imekwisha set CLASS yake kimataifa
Mpira ni mbinu na kila mwaka unaoongezeka Simba wanajifunza mbinu za kushinda katika mpira wa Afrika. Uzoefu na maumivu ya kushindwa siku za nyuma katika mechi muhimu ukitumiwa vizuri, Simba atafikia malengo yake msimu huu ambayo ni nusu fainali.Mi nashangaa sana kwanza simba wanayoitaka wao miaka yote imeishia robo fainali ngoja niione hii simba wanayosema wao mbovu itafika wapi
Ilete hiyo VAR ili ilibadili liwe goli.Usiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
Hata bila VAR lile ni goli halaliUsiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
Performance ipi hiyo ? Anyway huku ni kwa mabingwa kila timu ni ngumu . Timu vibonde zote zilifuruhushwa na kuelekea kwenye mashindano sawa na uwezo wao.Linganisha performance yenu na laja then laja vs horoya
Hizo quotes ulizoleta kuna yoyote iliyotolewa na proffesional kago yao?Unajua tofauti ya mchambuzi na shabiki .....( professionally)
Lilipigwa kwa horoya mkaanza vijimaneno vya ovyo kwa kuwa simba ilipoteza, leo kuna point 3 mnalia tena.Kabisa mkuu.....japo pira burudani ...Lina Raha yake
Tangu Simba imeanza kwenda hatua ya robo fainali kimataifa kuna siku ilionekana imekutana na timu ngumu ?Vipers ya bila bobosi. Manzoki ......kama ingecheza na ihefu...viper ingekula nyingi
Lakin uto wangechezeaVipers ya bila bobosi. Manzoki ......kama ingecheza na ihefu...viper ingekula nyingi
Wivu tu[emoji4]Baada ya mechi ya kibabe Jana kuisha Kwa mnyama kuchukua point 3 za nguvu pale Kwa mkapa hatoki mtu ( isipokuwa Raja Casablanca na Young Africans). Na kujihakikishia mguu ndani vs nje kwenda robo fainali.
MAONI YA WACHAMBUZI BAADA YA MECHI YA SIMBA DHIDI YA VIPERS
Hizi ni nukuu za baadhi wa wachambuzi maarufu hapa bongo .....wanaoufanya mpira usonge mbele ..
Shaffih Dauda - Mchambuzi CLOUDS
"Ni bahati tu Simba SC imeikuta Vipers na yenyewe ikiwa dhaifu, pamoja na ushindi Simba imeonesha kiwango cha chini sana"
View attachment 2541407
Well saidView attachment 2541461
Form is temporary
Class are permanent
Msiichukulie Simba poa
Imekwisha set CLASS yake kimataifa
Linganisha performance yenu na laja then laja vs horoya