Vipers ya bila bobosi. Manzoki ......kama ingecheza na ihefu...viper ingekula nyingi
Nakuuliza zimetolewa na Proffesional wepi? Unless neno Professional kwa sasa lina maana nyingine.Hivi kwetu hapa Bongo kuna professional analyst wa mpira kwenye hizi redio na TV stations zetu kweli?Yaaaah mkuu.....hizi ni analysis zilizofanyika after match
Ni tatizo sana kwenye nafasi ya ushambuliaji.Nikiwa kama mshabik wa Simba π¦π¦π¦
Bado hatuna aggressive strikers pia Kwa mechi ya Jana kocha wa vipers angesema chama apewe beki mmoja wa kutembea nae hakuna ambacho kingefanyika.
Bado tunachezea sana nafasi hatuna mtu mwenye uchu wa mabao pale mbele...
Wachezaji Bado wana Tatizo la football β½ psychology hili nalo lifanyiwe kazi....
Zile nafasi za kufunga ambazo sisi tulizikosa timu kama Raja lazima akuadhibu....
Sijamwona mshambuliaji tishio pale Simba π¦π¦
Yaan asikwambie mtu timu zetu Zima safar sana watz Tunaupenda mpira sana....
Nitumie nafasi hii kuwapongeza Timu yangu SIMBA π¦π¦
Simba π¦ guvu moyaπ€
Ni kweli kabisa, Simba sio ya kuwa na takwimu hizi dhaifu kwa timu dhaifu iliyoifunga timu dhaifuShaffih Dauda - Mchambuzi CLOUDS
"Ni bahati tu Simba SC imeikuta Vipers na yenyewe ikiwa dhaifu, pamoja na ushindi Simba imeonesha kiwango cha chini sana"
Ha haaaNi kweli kabisa, Simba sio ya kuwa na takwimu hizi dhaifu kwa timu dhaifu iliyoifunga timu dhaifu
View attachment 2543344
Mkuu umeona hizo takwimu?Ha haaa
Ushindi mwembamba mkuuMkuu umeona hizo takwimu?
Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261
Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine yoyote katika hizi mechi mbili. Vivyo hivyo katika ball possession, total shots, shots on goal na dangerous attacks. Sijajua ni kipi kinaamua ubovu wa Simba
Kwa hisani ya Soccer24
Soccer24: Live Soccer Scores, Results. Online Football Results
Kama kigezo ni ushindi mwembamba, basi sawa hata mimi nakubali kuwa Simba ni mbovuUshindi mwembamba mkuu