Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Manzoki mechi ya Yanga hakucheza.
Bobosi na Manzoki hawakucheza mechi zote mbili za Vipers vs Mazembe. Mazembe wakang'ooka
Bobosi na Manzoki hawakucheza mechi zote mbili za Vipers vs Mazembe. Mazembe wakang'ooka
Vipers ya bila bobosi. Manzoki ......kama ingecheza na ihefu...viper ingekula nyingi