HA HA HA HA ENDELEA KUTAFUTA MASOKO denisi!!!!!Anakuigizia babu, nipe data halisi harafu ntakupa za kwangu. Project nzima ya palm village ina unit ngap na ameuza ngap mpaka sasa, zimebaki ngap? Na tukitoka hapo niambie service charge yake ni bei gani kila mwezi kwa kila unit au bedroom au apartment moja. Na mradi toka ukamilike una muda gani? Nijibu hivyo vitu 3 harafu na mimi ntakupa majibu yangu ya ile property.
Hana anachokijua yule mzee atakupotezea muda wako tuha ha ha kwanini ? ebu tupe sababu aisee inaweza kunisaidia kubadili mawazo
Ukitaka affordable price nenda kwenye miradi ya NHC babu utapata kwa bei unazozitaka wwπMie nafikiri wangeweka affordable 45ml mpka 100ml kama hizo za NHC KAWE , KWA MWAMPOSA. sema nao wamefuata mkumbo hiyo project kawe beach 4ooml mpka 600ml zimedollola wanunuzi wa kusuasuasq. eti wana projecction ya kodi 1500usd mpaka 3000usd one bedroom to threebedroom
Usiseme tu commission sema rundo unaijua 3% ya 300k usd wwπMimi nina hela na ndio maana najua uchungu wa kuzitumia hovyo; wewe huna hela unategemea commission baada ya kuwauzia wajinga hizo apartment uchwara!! Hakuna wauza madawa ya kulevya hapa bongo wa kuweza kununua upuuzi wenu huo!! Utangoja sana!!!
Nimepitia apartments nyingi sana jijini Dar; wamiliki wake ndio wanaishi mle, siyo wapangaji. Ni chache sana zilizo chini ya Airbnb zinazopangisha wasafiri na watalii; hizi zinamilikiwa na kampuni inayomiliki apartments hizo, siyo mtu mmoja mmoja aliyenunu chumba. Ninachoongelea ni hilo la kununua aparatment kusudi uishi ndani.Kauli yako: Mtu kujunua apartment ni ulimbukeni.
Kauli yako tena: apartment ni za kupanga tu sio kununua uishi.
Afadhali ulisema ni maoni yako hata kama hayana maana yoyote kwa meingine ni maoni yako.
Mchina sio mpumbavu babu hawekezi tu hela yake akapata hasara, hayo maswali ma 3 niliyokwambia mimi hata ukija ofisini siwez kukwambia kwa sababu ni ndio yanayoupa faida mradi zunguka dunia nzima. By the way unachotakiwa ujue hakuna mfanya biashara atakae kwambia anapata faida au amepata faida ngap kwa sabb ni jambo binafsi. Property za kawe zimekamila juzi tu lakin ukienda pale aliezijenga ameshaziuza zote kwa wateja lakin sio kwamba zote zinakaliwa na watu hapana. Kuna watu hao wanajua kucheza na hizi biashara, wananunua hizo apartment zikiwa kwenye ujenzi kwa sabb zinakuwa bei za chini, zikikamilika hawazipangishi wala hazikaliwi na mtu, wanachokifanya baada ya muda fulani wanaanza kuziuza taratibu kwa kudouble price aliyonunulia.HA HA HA HA ENDELEA KUTAFUTA MASOKO denisi!!!!!
Hana anachokijua yule mzee atakupotezea muda wako tu
Ukitaka affordable price nenda kwenye miradi ya NHC babu utapata kwa bei unazozitaka wwπ
Usiseme tu commission sema rundo unaijua 3% ya 300k usd wwπ
Kuna ishu hapo katikati huijui kwann nyingi majina zinasoma developers, na pia hujui kwann zinasoma majina ya kampuni fulani sio mtu mmoja. Ili uelewe hilo unatakiwa uwe mfanya biashara wa hizi biasharaπππ ndio maana masikini ni wengi matajiri ni wachache. Lakin naomba nikutanie kidogo kama unaakili timamu utafungua code. Unajua kwann baadhi ya watu hawahifadhi pesa zao bank?πNimepitia apartments nyingi sana jijini Dar; wamiliki wake ndio wanaishi mle, siyo wapangaji. Ni chache sana zilizo chini ya Airbnb zinazopangisha wasafiri na watalii; hizi zinamilikiwa na kampuni inayomiliki apartments hizo, siyo mtu mmoja mmoja aliyenunu chumba. Ninachoongelea ni hilo la kununua aparatment kusudi uishi ndani.
Nashukuru umefanya calculation haya sasa kojoa ulaleNdio maana nikakuita FALA kwasababu hiyo commission yako ya 3% converted to hela ya madafu ni shilingi 22 million!! Sasa hiyo nayo ni hela ya mwanaume kusimama na kutamba kuwa ana hela? Wewe limbukeni tu , wenye hela wametulia wako kimya wanawaacha nyie chawa muhangaike.
Nashukuru umefanya calculation haya sasa kojoa ulale
Nimekwambia kojoa ulale sibishani na masikini, ww kama una hela njoo kesho ofisini ulipie three bedroom ya 150sq floor ya 17 inauzwa 350k usd. Kama kweli ww 22mil kwako ni hela ya weekend.Umekubali sasa kuwa wewe ni masikini tu huna hela?? Hiyo mill. 22 ni matumizi ya weekend moja tu huko Kiwengwa, Zanzibar.
Una mapungufu makubwa sana ya ulelewa wa biashara za real estate. Tofautisha kabisa real estate developer na real estate agent au kwa jina jingine realtors.Kuna ishu hapo katikati huijui kwann nyingi majina zinasoma developers, na pia hujui kwann zinasoma majina ya kampuni fulani sio mtu mmoja. Ili uelewe hilo unatakiwa uwe mfanya biashara wa hizi biasharaπππ ndio maana masikini ni wengi matajiri ni wachache. Lakin naomba nikutanie kidogo kama unaakili timamu utafungua code. Unajua kwann baadhi ya watu hawahifadhi pesa zao bank?π
Nimekwambia kojoa ulale sibishani na masikini, ww kama una hela njoo kesho ofisini ulipie three bedroom ya 150sq floor ya 17 inauzwa 350k usd. Kama kweli ww 22mil kwako ni hela ya weekend.
Kwanza umeelewa nilichoandika na maana yake tuanzie hapo kwanza? Kama hujaelewa kojoa ulale tusisumbuane hapa?Una mapungufu makubwa sana ya ulelewa wa biashara za real estate. Tofautisha kabisa real estate developer na real estate agent au kwa jina jingine realtors.
Bac kojoa ulale wenye hela wananunua bila stress. Kesho asubuhi chukua boda boda yako ingia mtaani utafute hela ya kula pumbavu.I am not financially illiterate to do such a transaction!
Nishapata uzi wa kupunguzia stress πΉπΉAnaendelea alipoishia πππ
Hawana hela πΉπΉWanazingua hawa ******* badala ya kupiga simu waje ofisini waangalie mradi wanaongea usenge usenge, mi siwaachi nawapasua, tena nawakanyagia kweli kweli
Oya familia siwaachi πππ hilo nakuahidi watakula mituc hadi ya mama zaoHawana hela πΉπΉ
Wape vidonge vyao mpaka wakimbie wote..!!
Nimekuelewa sana; ndiyo maana nikakujibu. Ila sijui kama umelielewa jibu langu.Kwanza umeelewa nilichoandika na maana yake tuanzie hapo kwanza? Kama hujaelewa kojoa ulale tusisumbuane hapa?
Usicheke na kima wowote wapasue πΉπΉOya familia siwaachi πππ hilo nakuahidi watakula mituc hadi ya mama zao
Tunaita service charges ambazo zitakuwa zinafanana na sq meter za unit zetu. Kwa mfano tuna unit za sq 52, 54, 80,98,120,124na 150 hizi zote ni aina za unit au apartment za saiz hizi. So apartment yyt utakayoichagua hapo na service charge yako itakuwa hiyo hiyo kwa mwezi, mfano ukinunua one bedroom ya 52sq service charge yako itakuwa 52usd kwa mwezi, kwahiyo kwa kifupi ni kuwa sq meter zako ndio service charge yakoMangi eee hebu tuwekee hapa gharama nyingine mnunuzi atakazolazimika kulipia baada ya kununua hiyo nyumba.
Kmf.
1. Security
2. Maintenance
3. Kodi ya ardhi/jengo
4. Usafiri
Etc