Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Ha ha ha hujuibwateja wa hizi apartments.
 
Hapa ndio mnadanganya watu, Tanzania inahitaji miaka 100 kurudisha pesa ya nyumba kama hizo kwa kupangisha.

London, Dubai, New York, Paris, return huwa inarudi within 10 years kwa sababu nyumba kwenye hiyo miji ni very expensive, one bedroom rent on average ni Dola 600 kuendelea, Wakati Tanzania dola 600 unapata nyumba nzima
 
Nina rafiki zangu ndio kazi zao hizo Masaki,Obay,Msasani,Mikocheni kwahio nina idea kidogo na mambo haya hasa mitaa hio ya kishua. Ila Wachina wataleta mapinduzi ya nyumba big time. Apartment $94k maeneo hayo ilikuwa ndoto.
 
Nyumba Tanzania zipo ghari sana kuliko hata bei ya Nyumba SA...
250m unapata nyumba ya 166m maeneo mazuri na unabaki na chenji ukitaka utumie 200m pia unaenda huko Rosebank,Edenvale unapata nyumba ya chini yenye swimming pool..
Hii hapa Ostersund 🇸🇪 Sweden apartment one bedroom 140000 sek sawa na million 40 za bongo. Umeme kamwe hukatiki na maji kamwe hayatakatika.





mshamba_hachekwi RRONDO Smart911
 
Nyumba Tanzania zipo ghari sana kuliko hata bei ya Nyumba SA...
250m unapata nyumba ya 166m maeneo mazuri na unabaki na chenji ukitaka utumie 200m pia unaenda huko Rosebank,Edenvale unapata nyumba ya chini yenye swimming pool..
Tanzania Wizara ya Ardhi inabidi ifanye kazi yake. gharama ya nyumba na viwanja inatakiwa kuwa regulated
 
Mkuu huo ni uwekezaji wa muda mrefu.
Ukinunua hapo hiyo apartment itaendelea kukulipa kizazi na kizazi..!!

Ningekuelewesha zaidi muda ndio tatizo..!!
 
Nina rafiki zangu ndio kazi zao hizo Masaki,Obay,Msasani,Mikocheni kwahio nina idea kidogo na mambo haya hasa mitaa hio ya kishua. Ila Wachina wataleta mapinduzi ya nyumba big time. Apartment $94k maeneo hayo ilikuwa ndoto.
Kutetea hili ni either kukosa exposure au kubaliki money laundering.

Biashara ya nyumba Tanzania inabidi iwe regulated.

Tanzania hatuna mtaa wala eneo expensive kuliko London
 
Ha ha ha hujuibwateja wa hizi apartments.
Iko nyuma kwa sabb watanzania wengi mnapenda vitu vizuri kwa bei ya mseleleko, harafu ujuaji mwingi kumbe Huna unachokijua. Kaka hiyo dola 94dola kwa standard ya mradi wetu sisi tuko chini kulinganisha na washindani wetu kama Simba developers, Swan, manhatan masaki, Laluna masaki, Johari masaki, No 7 garden masaki hao developers wote niliowataja wana property bei zao zimesimama masikini kama ww hutii put yako. Lakin cha kushangaza utakuta iko full, wenye hela wamezinunua😂😂.
Ngoja nikupe elimu kidogo.
Apartment masaki za one bedroom zenye square meter 48 hadi 49 zinaanzia dola 120,000 mpaka 150,000😂.
Lakini zetu sisi ni square meter 54 tunauza 94000 dola.
Ukiangalia size ya square meter yetu ni kubwa na bei ni ndogo kulinganisha na wenzetu.

Unajua kwann? Ukiniuliza ntakupa jibu.
 
Mkuu huo ni uwekezaji wa muda mrefu.
Ukinunua hapo hiyo apartment itaendelea kukulipa kizazi na kizazi..!!

Ningekuelewesha zaidi muda ndio tatizo..!!
Na hili ndio kosa nimekuwa naona kwa Watanzania wenzangu hapa unahitaji elimu ya uwekezaji, tumia muda wako na AI ujifunze kuhusu interest rate inayowekwa na benki kuu.

Kama unazungumzia uwekezaji wa muda mrefu basi kununua government bond ni uwekezaji bora kuliko kumiliki nyumba.

Nyumba kinachokuwa thamani ni Ardhi na eneo ilipo sio jengo.
 
Yan 😂 mleta Uzi , apartment anaona ni kitu kinachotakiwa kuwa cha gharama kubwa na kwa watu matajiri.

Ukweli ni kwamba hakuna tajiri hata mmoja anaekubali kuishi na familia yake kwenye apartments. Apartments ni Kwa ajili ya kuwapangishia mahawara.

1 world countries Apartments ni Kwa watu kipato cha chini na kati
 
Haya ndio maneno yanayopotosha watu... Hakuna Sehemu Tanzania inapaswa kuwa expensive sawa au zaidi ya London, Dubai na New York. Labda maeneo ya Mbugani pekee
Mkuu hujalazimishwa wewe kajenge mkoani kwa bei cheee..!!

Wanaoelewa hizo apartments watanunua.
 
Besti hata kama ni ya kibiashara hizo bei siyo rafiki kabisa hata pia kama ziko down town. Nairobi ambapo ni more influential business na tech hub east africa, downtown one bedroom unapata hadi 40K USd full furnished. Hapo ni westlnd down town affluent neighbourhood. Hii hapo chini ni 40 k usd na expat wanafurika Nairobi. Kusema ukweli Dar apartments bei siyo halisi na rafiki kabisa.

Your browser is not able to display this video.


mshamba_hachekwi
 
ACHANA NAO KAKA NIMEWAAMBIA NA NAWAAMBIA TENA HII POST HAIMUHUSU MASIKINI, WW KAMA UNAJUA KULA YAKO NI YA SHIDA PITA KAMA UNAAGA MAITI ISIYOKUWA YANDUGU YAKO MAANA MAJI NI MALEFU KWAKO😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…