Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Wachagq kwa mbwembwe
 
Sasa hizo apartments umeambiwa hazipandi thamani?
Hilo eneo lilipo wewe unaona ni chanika hapo?

Hiyo elimu ya uwekezaji naijua, ndiomana nikakwambia hata huo pia ni uwekezaji..!!
 
Sasa hizo apartments umeambiwa hazipandi thamani?
Hilo eneo lilipo wewe unaona ni chanika hapo?

Hiyo elimu ya uwekezaji naijua, ndiomana nikakwambia hata huo pia ni uwekezaji..!!
Hana anachokijua ila anavyojifanya mjuaji sasaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wachagq kwa mbwembwe
Sio mbwe mbwe nyie masikini nikiwadekeza mnanijazia comment cgafu kwenye post yangu, Dawa yenu ni kuruka na nyie tu mpaka kieleweke. Hii sio post ya watu masikini ambae kula kwake kwa shida, post hiyo inawahusu matajiri, wenye hela zao mjini, madoni ndio niliowatarget hapa. So usjniletee stress zako hapa baki nazo mwenyewe, kila mtu anazo zake ambapo nikikushirikisha unakufa hapo hapoπŸ˜‚
 
Sasa hizo apartments umeambiwa hazipandi thamani?
Hilo eneo lilipo wewe unaona ni chanika hapo?

Hiyo elimu ya uwekezaji naijua, ndiomana nikakwambia hata huo

Kote kupo sawa tu mkuu huko ni kutekana nje nje tena mchana kweipe kitu ambacho hapa hakipo ukijaribu kumteka mtu jamaa wa mbali anawachapa kweli risasi..
Hizo ndio mada unazozijua mambo ya property huyawezi achana nayoπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…