Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Mkuu umeweka picha za 3D Physical models.

Tuwekee picha za site za ujenzi wa hizo apartments.
 
Unaakili timamu kweli? Naweza nikakupa mitusi nikajua namtukana mwenye uelewa kumbe dishi lilishapotezaga satellite kitambo sana.
dola 2000 kwa mwezi ×12miez= 24000
24000×5years= 120,000
Na umenunua apartment kwa 94000dola.
Watu kama nyie nikiwatukana wataniambia mimi mkorofi, sijui nina jaziba ila wee jamaa Matako yako kama anavyosemaga sugu.
 
Sijajua kama nilikujibu au labda nilikusahau. Hiv ww unafiria wenye hela ni wapumbavu kama ww😂😂 lala uko ntakuja kukupa mtusi bure saiz na mfungo huu.
 
You're such moron, haya nipasue. You have no idea who might be the potential customers but still you're spitting crap to almost everyone.
Welcome to Oakville you'll obviously learn something.
 
dola 2000 kwa mwezi ×12miez= 24000
24000×5years= 120,000
Na umenunua apartment kwa 94000dola.
Watu kama nyie nikiwatukana wataniambia mimi mkorofi, sijui nina jaziba ila wee jamaa Matako yako kama anavyosemaga sugu.
Chini kabisa kwenye hii post yako kuna post zako kama 5 unauza same thing, nyingine zina 0 replies.

Sisi hapa tumetoa maoni tu
 
dola 2000 kwa mwezi ×12miez= 24000
24000×5years= 120,000
Na umenunua apartment kwa 94000dola.
Watu kama nyie nikiwatukana wataniambia mimi mkorofi, sijui nina jaziba ila wee jamaa Matako yako kama anavyosemaga sugu.
Sisi tunatoa maoni, pia hata kama wewe ni dalali kwenye haya majukwaa tunakupa mawazo mapya ya kuwa Professional

Nimekupa Screenshot ndogo ya average renting price ya baadhi ya nyumba London tena mjini, hiyo nyumba ya Vyumba vitatu iko karibu kabisa na British Museum, Mjini kabisa. Yaani One bedroom Mikocheni iwe expensive kuliko London, Inabidi tuwe serious

Hiyo nyumba ya chini inaweza kununuliwa kwa deposit ya pound 30000 kwa rent ya 4000 na mortgage ya pound 1000 kila mwezi, maana yake unapata faida ya pound 3000 zaidi

Tanzania Madalali na CCM mnaoverprice nyumba sana
 
dola 2000 kwa mwezi ×12miez= 24000
24000×5years= 120,000
Na umenunua apartment kwa 94000dola.
Watu kama nyie nikiwatukana wataniambia mimi mkorofi, sijui nina jaziba ila wee jamaa Matako yako kama anavyosemaga sugu.
Mkuu ground hakupo hvyo kupata huyo mteja wa dola 2000 through out the year mpaka urudishe hiyo dola 94k si jana wala kesho.

Anyway kila kitu kina standard zake....

Tuishi
 
Bei gani hizo hose mkuu?
Hapa wanauza rand 750,000 wametoa VAT mpaka rand 800,000 inategemeana na mwaka kama hizi ni P 410 XT za 2019..
Hizi tunamshukuru Mungu washafika Tunduma ila zipo za 2016 bei pungufu kidogo na G 460 au R 460 za 2016 maana ina kodi ya 42.6m ya 2015 kodi juu hata hizi XT ni zaidi ya 51m kodi kwa horse moja.
 
Jibu swali acha kuzunguka mbuyu
Ungekuwa mteja usingeuliza swali la kipuuzi kama hilo, mteja mnunua angenipigia simu kama walivyofanya wengine wameniuliza maswali nimewajibu na leo wanakuja site. Lakin kwa Mngese kama ww na maswali yako ya kipuuzi sina muda wa kuyajibu. Tafuta kazi ufanye kuku ww. Mtu mwenyewe masikini kura yako ya shida unashoboka kwenye post za dola, angalia kijana utapididiwa acha shobo kwenye michongo ya wanaume
 
😂
 
Mkuu ground hakupo hvyo kupata huyo mteja wa dola 2000 through out the year mpaka urudishe hiyo dola 94k si jana wala kesho.

Anyway kila kitu kina standard zake....

Tuishi
Kama vitu huvijui uliza utasaidiwa usiropoke kitu ambacho hukijui utanifukuzia wateja kwenye post yangu. Hebu tenga muda zunguka kwenye miradi ya masaki uliza wanauzaje kwa kila unit na wanapangishaje kwa kila unit harafu hilo jibu baki nalo litakusaidia siku nyingine usiropoke hovyo.
 
Kwahiyo ni kama
123,157,500+VAT+RDL+IMPORT DUTY ndo inafika Bongo?
 
Wee kenge nini kwahiyo unataka nimpamgie bei mmiliki wa property? UProfessional upi unaoutaka niwe hapo, Acha kutumia nguvu kwenye vitu rahisi kama hivyo. Sikiliza niga Narudia tena Tafuta kazi ufanye mi mwenzio sipotezi muda hapa natangaza biashara mwenye hela anunue asie na hela alipite kushoto. Kama unataka apartments za bei ya chini, nenda kawe pale zipo, nenda magomeni kota utazikuta. Usinipotezee muda kwenye post yangu. Mimi sijakwambia utoe maoni hapo nimekwambia uje site uangalie mradi mambo ya maombe mpelekee mama yako.
 
Sitaki siasa kwenye post yangu mimi nimetangaza biashara kama unaouwezo wa kununua njoo ofisini ununue kama Huna uwezo pita kushoto. Usiniletee ungese babu, ujue mwingi hela Huna maisha Huna umekaa jamii forum kucomment vitu nonsense hapa. Mambo ya London na dubai usifananishe na Tanzania kenge ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…