Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji hizi plastic mold kwaajili ya kufyatulia paving nichekie mkuu alafu nipe gharama zake
 
Am still waiting for his response
I am ready to send the money , Naomba nikumbushe process tafadhali

Tayari nimepokea malipo uliyofanya.

Order yako imefanyiwa kazi.

Ahsante.

Next update: Jumanne au jumatano ambapo utapewa tracking number na utaweza kuufuatilia mzigo wako.

Karibu

Habari ndugu Kinyau

Napenda kukutaarifu kuwa mzigo wako umefika.

Nimekutumia maelekezo PM jinsi ya kufika ofisini na kuchukua mzigo wako

Ulifanya order ya 4pcs, na zimefika ndani ya muda mfupi Toka AMAZON
 
Mwl hivi huu mzigo kufika mkononi inagharimu kiasi ganiView attachment 820059
habari,

Changamoto iko kwenye CIF price.

TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI

1. Mawasilino yanafanyika na muuzaji - Wewe waweza kuwasiliana naye au mimi nikafanya hivyo

2. Muuzaji anatatuma INVOICE ikiwa na ghalama yote (MANUNUZI + KUSAFIRISHA hadi bandari ya DSM)

3. MALIPO YANAFANYIKA - Kwa utaratibu tutakao kubaliana na muuzaji

4. TUNASUBIRI MZIGO KWA WIKI KATI YA 5 HADI 7 mzigo utakuwa umefika nchini - Iwapo utakuja kwa njia ya MAJI na huchukua siku 9 hadi 14 iwapo utatumwa kwa ndege

5. Baada ya mzigo kufika nchini ndipo taratibu za kuutoa mzigo bandarini/ airport unafanyika

6. Kuutoa bandari mzigo huwa kuna ghalama zake - Clearance/ TAX/ VAT

7. Hizo ghalama kipengele namba sita zitajulikana baada ya mzigo kufika nchini - Na uwe tayari kuzilipia kwa wakati


KARIBU
 
Bei ndo hii $315
 
Asante sana mkuu nimepata vifaa vyangu kama nilivyoagiza, Ubarikiwe sana kwa uaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…