Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

ALIBABA - Inafaa kwa manunuzi ya mzigo mkubwa, ni order direct toka kwa mzalishaji. Mfano: Hitaji kama ni simu kwa idadi ya 1000pcs basi alibaba ndio mahala pake.

Na kwa alibaba hata ukihitaji bidhaa husika zije kwa nembo yako, wanakuwekea iwapo tu idadi ya mzigo ni kubwa.

ALIEXPRESS - Bidha kwa bei ya reja reja.

Hivyo kwa manunuzi ya bidhaa ALIEXPRESS ndio inatufaa zaidi.
Mwl.RCT , vipi kuhusu ''Alibaba'', mbona hauitaji kwenye manunuzi online?

Kuna bidhaa nataka nikupe link afu you pay4me and buy4me. Ipo Alibaba. Nimeku-PM.
 

Shukrani mkuu. Nilikuwa sifahamu huo utofauti.

Pia naomba kujua... simu inayouzwa kwenye soko la china, na simu inayouzwa kwenye soko la ulaya/marekani, zinakuwa na ubora sawa?

Yaani mfano ninunue Xiaomi Redmi Note 4 kutoka supplier aliyepo China, kisha ninunue Xiaomi Redmi Note 4 kutoka supplier aliyepo UK ama USA, hizo simu zitakuwa na same quality?
 
Yaani mfano ninunue Xiaomi Redmi Note 4 kutoka supplier aliyepo China, kisha ninunue Xiaomi Redmi Note 4 kutoka supplier aliyepo UK ama USA, hizo simu zitakuwa na same quality?
- Mzalishaji ni mmoja.
- Zote zina ubora sawa.
- Ghalama ndio itatofautiana
 
Mimi ninachoogopa ni kodi tuu, Embu nipe uzoefu kwenye electronics, kodi iko vip!?? Maana kifaa kinaweza fika halafu ukashindwa kukilipia kodi
 
Mimi ninachoogopa ni kodi tuu,
Ni jukumu letu, Ni wajibu wetu kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa letu.
Embu nipe uzoefu kwenye electronics
Sio kila kifaa cha electronics kinalipiwa kodi. Kuna vifaa vingine havina kodi, Mfano
- Computer & computer parts
- Vifaa tiba
- etl
kodi iko vip!?? Maana kifaa kinaweza fika halafu ukashindwa kukilipia kodi
- Ghalama ya kodi kwa kifaa husika hutokana na HS tariff code, ya hicho kifaa.
- Download HS code list hapa: https://www.jamiiforums.com/attachments/epa-351-640-pdf.396572/
- Pia tembelea kurasa za TRA kujifunza zaidi kuhusu kodi.
 
Ukunipatia bei zote 2 itakuwa poa zaidi.
128GB = TZS 1,407,150

64GB = TZS 1,216,350

Muda: Ndani ya wiki Tatu (3).
Optional: Iwapo utahitaji mzigo uje kwa njia ya haraka ( siku 5 hadi 10) ghalama inaongezeka kwa TZS 52,470
 
Okay hapa kodi inaweza kuwa kiasi gani!??
128GB = TZS 1,407,150

64GB = TZS 1,216,350

Muda: Ndani ya wiki Tatu (3).
Optional: Iwapo utahitaji mzigo uje kwa njia ya haraka ( siku 5 hadi 10) ghalama inaongezeka kwa TZS 52,470
 
Hizi bidha naweza kuzipata kwa shilingi ngapi mpaka mkoni kwangu:
1.display ya samsung galaxy J7 ya 2016
Xiaomi redmi 6 pro 32 gb
3.xiaomi redmi 6 pro 64 gb
Msaada please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…