Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #2,301
ALIBABA - Inafaa kwa manunuzi ya mzigo mkubwa, ni order direct toka kwa mzalishaji. Mfano: Hitaji kama ni simu kwa idadi ya 1000pcs basi alibaba ndio mahala pake.
Na kwa alibaba hata ukihitaji bidhaa husika zije kwa nembo yako, wanakuwekea iwapo tu idadi ya mzigo ni kubwa.
ALIEXPRESS - Bidha kwa bei ya reja reja.
Hivyo kwa manunuzi ya bidhaa ALIEXPRESS ndio inatufaa zaidi.

Mwl.RCT , vipi kuhusu ''Alibaba'', mbona hauitaji kwenye manunuzi online?
Kuna bidhaa nataka nikupe link afu you pay4me and buy4me. Ipo Alibaba. Nimeku-PM.