- Ipo ofisi kwa ajiri ya kuchukua mizigo tu.Nitakutafuta ukiwa na ofisi maalumu kwa sasa naogopa Mimi
stop wishing start doing
Hupaswi kuogopakwa sasa naogopa Mimi
Ndio utachukua mikononi mwangu. Baada ya kukagua na kuhakiki kuwa mzigo ni wenyewe
Iwapo muuzaji ametuma mzigo ambao si wenyewe au mzigo unakasoro
Kwa kila manunuzi yafanyikayo baada ya mzigo kutumwa huwa kuna hizi option pichani
- Hautopaswa kuuchukua, Mzigo utabaki kwangu na nitashughulikia hili swala kwa ukaribu
- Kumbuka muuzaji hupewa fedha baada ya kuthibitisha kuwa mzigo nimepokea na uko sawa.
View attachment 461951
Option ya pili kutoka juu, Ndicho kipengele kinachotuhusu, na sababu zetu ni moja kati ya hizi (nimezungushia kwa blue)
View attachment 461954
Hivyo ondoa shaka. Katika hili uko salama
Kwa Mwl.RT nimeshapokea mizigo miwili, kwa Kevin Isaya nishapokea Mzigo mmoja , mingine kapotea nayo. Nadhani Kev kuna haja ya kumshughulikia ndugu, ikiwezekana kuanzisha Uzi wa kuhusu yeye, ili wahanga wa huduma yake wajitokeze wote ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi Yake. Serikali itamleta toka alipoNimekuelewa sana, ila ukiwa KEVIN ISAYA hakika utalipa gharama mara 2, pesa yangu haipotei
KaribuNimekuelewa sana, ila ukiwa KEVIN ISAYA hakika utalipa gharama mara 2, pesa yangu haipotei
Bundle Offer with Canon EOS 700D 18-55mm Lens Kit + Tripod Carry Case with Ultra 16GB SD CardKaribu
Tunza (andika mahala) hii short URL: www.v.ht/buy4me ili kuweza kurejea kwenye hii thread wakati mwingine.
Kwa mawasiliano - Angalia Post namba moja
Karibu
Tunza (andika mahala) hii short URL: www.v.ht/buy4me ili kuweza kurejea kwenye hii thread wakati mwingine.
Kwa mawasiliano - Angalia Post namba moja
HabariNaomba gharama kwa tshs..
total hadi unanipa mzigo wangu...
https://www.aliexpress.com/item/3GB-32GB-H96-Pro-Amlogic-S912-Octa-core-Android-6-0-TV-BOX-H-265-4K/32760495585.html?shortkey=fQJZriuA&addresstype=600
- Sio lazima upitie Kenya.Mkuu.
Kama mzigo umetumiwa kupitia singapore post lazima upitie kenya au mingine inakuja moja kwa moja to dar?
Utaupa, Ondoa shakaMkuu mzigo wang wakwanza ulipitia kenya sasahv nimeagiza mwinginr kupitia singapore ila nimeona wameandika tracking via aliexpress wanaonyesha unakuja dsm ndo nikajiuliza inakuaje.
Kazi yake nini mwlTV BOX
View attachment 462673Code:https://www.aliexpress.com/item/3GB-32GB-H96-Pro-Amlogic-S912-Octa-core-Android-6-0-TV-BOX-H-265-4K/32760495585.html?shortkey=fQJZriuA&addresstype=600
View attachment 462674
View attachment 462675
NAPOKEA ORDER KWA WANAOHITAJI KIFAA HIKI
- Bei TSH 205,000
- Muda wa kusubiri mzigo kufika Wiki 3
- Mawasiliano 0717 54 57 62
Android TV boxKazi yake nini mwl
Safi sana mkuu kwa hiyo Hata nikiwa na tv ya chogo inapiga kazi?Android TV box
- Ni kifaa unachounganisha kwenye TV yako ya kawaida kama jinsi unavyounganisha kingamuzi cha kawaida.
- Ambapo utaweza kutazama TV channel kutoka mahala popote duniani kupitia internet ( IPTV ),
- Waweza tumia application tofauti tofauti kwenye TV BOX, kama ambazo huwa unatumia kwenye SIMU YAKO moja kwa moja kupitia TV yako - Hivyo unakuwa na SMART TV, baadhi ya application pendwa kwenye smart TV ni kama YOUTUBE, MOBDRO, SHOWBOX, NETFLIX, KODI etl.
- Kupitia hizo application unapata TV channel za HABARI, MPIRA, FILAMU, KATUNI, MAKALA MBALIMBALI yaani kama ilivyo kwa Vingamuzi vya kawaida kama cha DSTV - ila wewe utatumia internet
- Kwa baadhi ya mataifa yaliyo endelea walisha acha kutumia vingamuzi vya kawaida na wanatumia hizi TV Box.
Pitia hii thread
>> Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)
Kila kilichojadiliwa kwenye hiyo thread waweza kukifanya kupitia TV BOX hiyo pichani.
KARIBU BANGO JEUPE

Ndio inafanya kaziHata nikiwa na tv ya chogo inapiga kazi?
- Kwa wengine kutumia TV Box inakuwa amepunguza ghalama ya kila mweziAlafu bundle zetu hizi za internet inakua gharama kwa hii kitu