Asante sana mwl. Nayafikisha kwa mhusika then nione response yake.Ndugu 4G LTE
A - Bei ya manunuzi ni USD $589. Ni free shipping kwa USA
B - Mzigo baada ya kupokelewa USA ndipo utasafirishwa kuja Tanzania - Kutakuwa na ghalama ya usafirishaji, ambayo itatokana na uztito wa bidhaa husika.
C - Kwa kuwa kwenye maelezo ya muuzaji hakuna Item Weight/ Shipping Weight , Uzito na ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania itajulikana baada ya kuupokea mzigo USA
D - Kutakuwa na awamu tatu za malipo - Rejea maelezo kuhusu masoko kundi B kwenye postin #1 & #2
Karibu
- Manunuzi, iko wazi USD $ 589
- Ghalama ya usafirishaji kuja Tanzani - Itajulikana baada ya kupokea mzigo katika ofisi za USA
- Ghalama ya VAT - Baada ya mzigo kufika mchini
View attachment 464746
Poa ngoja nichek naoIngia EBAY
Chagua link sahihi,
Kisha nipate hiyo link
Code:http://www.ebay.com/sch/i.html?_from=R40&_sacat=0&_nkw=ig2000+pull+start+ig2000&rt=nc&LH_BIN=1
Ndugu Behaviourist
Nimepokea malipo uliyofanya kiasi cha USD $272.33
Order yako imekamilika.
View attachment 464775
Mzigo utapokelewa New York City kati ya Tarehe 02/02/2017 hadi 07/02/2017
View attachment 464776
Asante mkuu naona mambo yanaenda very smooth!View attachment 468316
Mzigo tayari kwa kusafirishwa kuja Tanzania
Nitakupatia tracking number ili uweze kuufutilia vyema mzigo hadi unafika nchini.
mkuu Mwl.RCT naomba mwongozo wako kwenye post yangu [HASHTAG]#267[/HASHTAG]
32 au 64
- Ebay / Paypal wana taratibu nzuli, za kuhakikisha usalama wa fedha yako.Mkuu Mwl.RCT kuna jamaa yangu alinunua simu kwa mtandao wa eBay ,baadae Ile order eBay wakai cancel.Sasa hadi Leo hela yake hajarudishiwa tangu November 2016.AME contact nao sana but up to now hawajamrudishia.Je unamsaidiaje huyu nduguu?
Tumia +255 784 496 856 WhatsappMkuu Mwl RCT,
Nina hitaji la haraka sana la hii device nawezaje kupata mkuu? naomba msaada wako.
EZ-AD TV | In-Store Digital Signage