well, kama nikiwa tayari kabisa nitatumia free shippin' bt nataka jumla kuu, mfano itani cost bei gani mpk iwe mkononi.....??Seawhale
Nimeiona link husika.
Hii hapa
Muhimu cha kuzingatia - Hiyo simu ni USED, sio mpya, na bei yake ndio hiyo USD $169 (bei ya punguzo wakati awali ilikuwa USD $227.98)Code:https://www.fastcardtech.com/Apple-iPhone-5S-Used.html#review-view
je utatumia free shipping au utalipia DHL?
well, kama nikiwa tayari kabisa nitatumia free shippin' bt nataka jumla kuu, mfano itani cost bei gani mpk iwe mkononi.....??
shukrani nitakujulisha pindi nitakapokuwa tayari kwa transactions......View attachment 473801
Manunuzi TZS 404,658
My charges TZS 25,000
Kiasi utakacholipia TZS 429,658
NB:- Kwanini imekuwa USD 174 badala ya USD 169
- Sababu ya Paypal charges ambayo ni asilimia 3 (Order processing fee)
View attachment 473802
View attachment 473804
habariHii camera mpaka kunifikishia ita-cost kiasi gani?
Nikon D5300 Digital Camera, 18-55mmVR, 70-300mm f/4-5.6G
Hakuna 7s tusubiri September 2017 tusikie toleo jipya toka kwa kampuni ya apple.Habari aisee,
Hongera kwa kazi nzuri.
Iphone 7s from usa au u.k naweza kupata for how much?
Naomba bei zote, kwa new and used. Mpaka kunifikia mkononi.
TZS 92,896.77 kuifikisha TZhabari Mwl.RCT , Amazon product ASIN B01ITBLK46 mpaka kunifikia itagharimu kiasi gani?
Mkuu kama kwa hii 100000mAh Solar Power Bank Dual USB Portable External Battery Charger | eBay inaendajeTZS 92,896.77 kuifikisha TZ
[emoji837]NB: Ni vyema ukaangalia hii bidha aliexpress au ebay au banggood hapo utakuwa umeokoa USD [emoji383]15 au zaidi
Mkuu kama kwa hii 100000mAh Solar Power Bank Dual USB Portable External Battery Charger | eBay inaendaje
yeezy | eBaySoko gani zuri la kununua vitu kama nguo na viatu kama vya yeezy?
Mwl. Iv mpaka kuipata hii kityu hpa bongo fro eBay ina cost how's