Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Wakuu kuna mtu yeyote aliyeagiza mzigo kati ya mwezi wa pili mpaka may mwaka huu kupitia kwa huyu MWL.RCT. anipatie feedback ya mzigo wake.
Sababu mimi niliagiza ila hapatikani hewan kabisa
 
Nenda ofisini kwao mkuu kama uko Dar, hata kama hauko dar lkn una mtu kule unaweza kumuomba akakusaidia kufatilia. At least wangekupa taarifa ya mzigo kudelay kutokana na hali ya corona ilivyosababisha mambo kusimama.
 
Mkuu ukienda utanpa feedback bze sipo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…