Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl.RCT nashangaa unavyojibu watu. Rudisha kwanza TZS 598K+ kabla ya kuendelea kufanya biashara yako. (Nanusa harufu ya UTAPELI toka kwako). Jisafishe na unilipe pesa yangu ya tangia January 2020. Nimechoka na drama zako.


Ushahidi upo.
Du Mimi mwenyewe nmeambiwa nisubiri naona siku zinasonga pesa hairudi mwl turudishie pesa zetu
 
Haya leo tena naomba sapoti yako niipate hii saa.

Aliexpress user's
fungua link kisha gusa sehemu imeandikwa slash.

I want it! - come help me to slash 99% off this item - you could win some coupons!GET 99% OFF WITH FRIENDS
Slash it!
 
Wahanga wa athari za COVID-19, kwa mwaka huu 2020, tuko watano (5)

#1. Mhanga namba moja ni mimi mwenyewe MwlRCT
#2. Mhanga namba mbili... agatthi
#3.Mhanga namba Tatu (3) ...... ngaillob
#4.Mhanga namba Nnne (4) ......
#5....

Nina taarifa zote na kumbukumbu za wahanga wote. Ndugu agatthi asante kwa ushirikiano wako.

Nadhani hii ni comment yangu ya mwisho kuhusu hili swala.
 
Huu sasa ndio uswahili ambao binafsi huwa NACHUKIAAAAAA.

Why wewe hutaki hasara, unailazimisha ifike mpaka kwa wateja wako ?

Kwenye biashara hasara ni Pie huwa tunazipunguza tu.

Wewe toa akiba yako, malizana na hal wateja kwanza.
 
Well noted.

Ahsante

Mkuu pole sana aisee. Nadhani tangu unaanza hii huduma inawezekana hii ikawa ni changamoto ya kwanza kubwa ambayo unaipitia, natumai MUNGU atakuvusha katika hili na litapita kama yalivyopita mengine na utasimama tena imara na utasonga mbele kiongozi.

Pole sana kwa hilo na MUNGU akutangulie mkuu. Pamoja sana kaka.
 
Korona imeharibu sana
Niliagiza mzigo tangu mwezi wa kwanza na Aliexpress mzigo wangu ndio nimeupokea mwezi huu wa tisa tunaelekea mwez wa 10
 

Mimi pia nimemuonea huruma kweli cha msingi awajibike kurefund watu kama mizigo itakuja kutumwa bdae ajue yeye ataiuzaje au ni loss kwake yote ni sehemu ya biashara.


Covid imevuruga sana manunuzi, juzi kati kuna bidhaa nilichagua store moja ali express wakaniambia kutokana na pandemic hawatumi kwa sasa. So yawezekana mwl. Alikumbana na changamoto zinazofanana na hizo ila tatizo ninaloliona alisubiri akatafutwa muda mrefu ilibidi awape ufafanuzi mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…