Jitu Kabeja Diggala
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 165
- 184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link haiko sawaGet TZS 46,397.73 !
Your bonus is waiting to be activated.
Bonus-Freunde
This offer is valid within 24hrs
Wale wenye account Aliexpress changamkia fursa.
Mbona ipo sawa mkuu...Link haiko sawa
Du Mimi mwenyewe nmeambiwa nisubiri naona siku zinasonga pesa hairudi mwl turudishie pesa zetuMwl.RCT nashangaa unavyojibu watu. Rudisha kwanza TZS 598K+ kabla ya kuendelea kufanya biashara yako. (Nanusa harufu ya UTAPELI toka kwako). Jisafishe na unilipe pesa yangu ya tangia January 2020. Nimechoka na drama zako.
Ushahidi upo.
Wahanga wa athari za COVID-19, kwa mwaka huu 2020, tuko watano (5)
Huu sasa ndio uswahili ambao binafsi huwa NACHUKIAAAAAA.Wahanga wa athari za COVID-19, kwa mwaka huu 2020, tuko watano (5)
#1. Mhanga namba moja ni mimi mwenyewe MwlRCT
#2. Mhanga namba mbili agatthi
#3. Mhanga namba Tatu (3) ......
#4....
#5....
Nina taarifa zote na kumbukumbu za wahanga wote. Ndugu agatthi asante kwa ushirikiano wako.
Nadhani hii ni comment yangu ya mwisho kuhusu hili swala.
Siyo noted.Well noted.
Ahsante
Well said huyu jamaa hasara yake anataka kuturithisha wateja mbona faida hatujashare da biashara za mitandaoni nyingi utapeli be mi binafsi namdai mwl 540,000 tangu aprilSiyo noted.
Jali muda na mahitaji ya wateja wako.
Yaani mtu anasubiri mzigo wake mwaka mzima ?
Huu ni uzwazwa na uswahili.
Well noted.
Ahsante
Korona imeharibu sanaWahanga wa athari za COVID-19, kwa mwaka huu 2020, tuko watano (5)
#1. Mhanga namba moja ni mimi mwenyewe MwlRCT
#2. Mhanga namba mbili... agatthi
#3.Mhanga namba Tatu (3) ...... ngaillob
#4.Mhanga namba Nnne (4) ......
#5....
Nina taarifa zote na kumbukumbu za wahanga wote. Ndugu agatthi asante kwa ushirikiano wako.
Nadhani hii ni comment yangu ya mwisho kuhusu hili swala.
Mkuu pole sana aisee. Nadhani tangu unaanza hii huduma inawezekana hii ikawa ni changamoto ya kwanza kubwa ambayo unaipitia, natumai MUNGU atakuvusha katika hili na litapita kama yalivyopita mengine na utasimama tena imara na utasonga mbele kiongozi.
Pole sana kwa hilo na MUNGU akutangulie mkuu. Pamoja sana kaka.