Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mr Kipago

Angalia hii


link
Je kwa nini nimependekeza hiii
1. Battery life
- Hii utaitumia kwa masaa 15 iwapo unasoma au unafanya kazi bila ya intenet connection.
- Na utatumia kwa zaidi ya masaa 9 - 10 iwapo upo connected kwenye internet kwa njia ya Wi-Fi
- Utaitumia kwa zaidi ya masaa 7 iwao unatumia Modem

Wakati laptop ulio chagua inakaa na charge kwa saa 2 - 4hrs


2. Hii na ROM ya 64GB - EZbook
- wakati yako uliochagua ina ROM ya 32GB
 


Bei ya manunuzi inategemea size ipi umechagua, Je kati ya 16GB, 32GB & 64GB ipi unahitaji?

Je unataka rangi ipi kati ya hizi? - White, space gray, au Gold

NB
- Muuzajia hatumi moa kwa moja Tanzania
- Hivyo mzigo utapokelewa kwanza HONG KONG, ndipo utumwe tanzania
- Kutakuwa na malio awamu Tatu
1. manunuzi - ili kujua cost chagua size kwanza
2. usafirishaji
3. Kodi/ VAT baada ya bidhaa kufika nchini.

USHAURI
- ili kupunguza ghalama
- Tumia FREE SHIPPING, hivyo chagua simu hapa
Code:
 http://www.fastcardtech.com/  au www.ebay.com
 
Sawa mkuu. Ila kwa uzoefu wako wa item kama hiyo, shipping na kodi vinaweza vikawa bei gani. Sababu sitaki baadae ifike nianze kujutia gharama. Tumia uzoefu, roughly total, nifanye maamuzi.
 
Sawa mkuu. Ila kwa uzoefu wako wa item kama hiyo, shipping na kodi vinaweza vikawa bei gani. Sababu sitaki baadae ifike nianze kujutia gharama. Tumia uzoefu, roughly total, nifanye maamuzi.
Shipping - Iwapo uzito wa package utakuwa chini 500gm Gharama ya kusafirisha ni USD 15
- Hivyo mpaka hapo itakuwa ni USD $145

Kodi
- Jinsi wanavyo kokotoa kodi angalia hapa: Kukatwa kodi kwa mizigo Hapo angalia post #4

- Ni vigumu kusema kodi ni kiasi gani utalipa, maana mamlaka husika wakati mwingine huwa wanakataa invoice inayokuja na mzigo na ku_ uplift thamani ya bidhaa husika.
 
Mkuu huo mzigo umekugharimu kiasi gani mpaka kufika tanzania hapo ukijumlisha cost zote ulizotumia in tshs.??
 
Mkuu huo mzigo umekugharimu kiasi gani mpaka kufika tanzania hapo ukijumlisha cost zote ulizotumia in tshs.??
imenigharimu sana kwenye nauli na kodi,inashauriwa nunua TV USA tu kama hiyo model haipo hapa nchini kwa sababu jumla ya gharama(bei+usafiri+kodi) unapata tv mbili hapa nchini za aina hiyohiyo!........ila mimi faida nilizozipata ni kupata product original na pia model niliyonunua ilikuwa ni product kwa ajili ya USA!(made for north America)
 
Asante kwa ufafanuzi wako maridhawa
 
Mwl.RCT Vp nikiagiza display za tv kutoka china,cost zake zko vp mpaka kunifikia hapa nchini za kuanzia 32' mpaka 55'
 
How much hii
 
Mkuu naomba kuuliza, je kama nikinunua hiki kifaa nitaweza kupata local chanell bila malipo yoyote?
- Ni channel chache sana zilizo kwenye mfumo wa T2 kwa mijini
- Kwa wakati tulionao ni vyema ukanunua receiver yenye DVB S2 & T2
- Mfano V7 Combo (freesat) bei tzs 120,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…