son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 264
Hyo nitaweza kumia bila ya kuwa na tv kwa kuconnect kwenye laptop tu?- Ni channel chache sana zilizo kwenye mfumo wa T2 kwa mijini
- Kwa wakati tulionao ni vyema ukanunua receiver yenye DVB S2 & T2
- Mfano V7 Combo (freesat) bei tzs 120,000
Mwl.RCT mkuu mbona ujanipa jibu langu kuhuc hyo DVBIngia mtandaoni, Tafuta utakayo faa, Kisha nipe link yake.
Kwa kiasi kikuubwa cha fedhaMkuu ikiwa mm nina usd in cash hand na ninataka kuagiza itanibidi niziweke in tshs ndio nitume?
- Kuna insurance kwa mizigo toka nje ya nchi, hivyo ni guarentee kupata kile ulicho agiza.Na ikiwa mtu ame order mzigo mkubwa around $20,000 jee unagarantee vipi?
Hakuna utaratibu wa kuleta na kupokea fedha ofisini.na kama akitaka uje ofisini kwako ili alipie hapo inakuaje?
Mkuu lenovo vibe p2 mpaka inafika mkononi kwangu itagharimu sh ngap
Inatakiwa unipatie link ya bidhaa unayo hitaji ili nikupe mchanganuo wa ghalama yoteHello nahitaji Huawei P10
Mwalimu naomba mchanganuo wa ghalama za hii bidhaaInatakiwa unipatie link ya bidhaa unayo hitaji ili nikupe mchanganuo wa ghalama yote
- Tafuta EBAY au FASTCARDTECH au ALIEXPRESS
KARIBU
Mwalimu naomba mchanganuo wa ghalama za hii bidhaa
Asante
LG Stylo 2 16GB 4G LTE Smartphone works with Boost Mobile – New 652810518383 | eBay
Soko gani kwa mfano wanatuma moja kwa moja Tanzania?Ndugu Tetramelyz
View attachment 480449
Muuzaji hatumi Tanzani moja kwa moja.
Iwapo Simu itapokelewa kwanza USA ndipo itumwe TZ ghalama itakuwa kubwa,
(ununuzi + usafirishaji + kodi)
Ushauri: Angalia link nyingine, ambapo muuzaji atatuma moja kwa moja TZ, kisha nipatie link.
Vipi hii mwl, Boost Mobile - LG Stylo 2 4G with 16GB Memory No-contract 5.7" screen Cell Phone | eBayFastcardtech
Aliexpress
ebay (wako sellers wanaotuma na wasiotuma)
View attachment 480910
- Hii simu haiwezi kutumika Tanzania
- Iko locked kwa mtandao wa USA
- Angalia simu model nyingine hasa hapa www. fastcardtech .com