Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari ndugu mgodi

Itakughalimu kiasi cha tzs 102,212.

Itachukua kati ya siku 21-28 kufika

karibu

Asante mkuu, ila bei naona kama haipishani sana na hapa tz. Maana hapo maeneo ya posta wanauza 110,000.
Ngoja zoezi nilimalizie hapa hapa tz, tutakutana kwny bidhaa nyengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…