Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari ndugu mgodi

Itakughalimu kiasi cha tzs 102,212.

Itachukua kati ya siku 21-28 kufika

karibu

Asante mkuu, ila bei naona kama haipishani sana na hapa tz. Maana hapo maeneo ya posta wanauza 110,000.
Ngoja zoezi nilimalizie hapa hapa tz, tutakutana kwny bidhaa nyengine
 
Saa ya Kisasa Inauzwa: LEMFO LF16 Android 5.1 OS Smart Watch 3G WIFI

upload_2017-3-29_10-21-21.png
 
Back
Top Bottom