Pongezi kubwa kwako mwl kwa uzi huu.
Naomba msaada wako wa ushauri
Binafsi nimenunua mzigo kutoka aliexpress na ukasafirishwa kwa Aliexpress standars shipping details zake hizi hapa chini
Order ID: 8166816608791453
Tracking namba TZ000582945R
Order time 2023-04-26 10:39
Mzigo unaonesha umefika Tanzania na umekabidhiwa kwa local delivery company ambayo hawajaitaja jina lake hiyo company.
Nimeenda posta kuulizia wakasema mzigo hawajapewa wao. Na hawajui kampuni gani ama courrier gani imepewa huo mzigo ili wanipatie.
Je nitumie mbinu gani kuupata mzigo wangu.
Mizigo ya Ali express standard shipping huwa inapokelewa na kampuni gani ama Tanzania? Ama inachukuliwa wapi ukiondoa posta