Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl.RCT
hongera kwa maarifa unayoweka hapa!
Naomba kujua, nimejaribu kufanya manunuzi ya bidhaa kwa Jumla - Alibaba, kitu kiachouzwa USD 6 nimejaribu kuweka Order ya 6 psc, Shipping pekeake naambiwa TSHs 360,000+ huko! Hii inakuwaje!
 
Alibaba, kitu kiachouzwa USD 6 nimejaribu kuweka Order ya 6 psc, Shipping pekeake naambiwa TSHs 360,000+
Alibaba - Ni maalum kwa wafanya biashara wakubwa, wanao chukua mzigo mkubwa kwa jumla, mfano 500pcs or above.

Alibaba waweza kuwa unahitaji 1pcs ya item fuani inayouzwa US $4, wewe ukasema idadi ni 1 - 5pcs, wanachukulia kuwa unahitaji sample,

Hiyo sample hutumwa kwa njia ya express, ambapo minimum kwa express shipping huwa kati ya $40 hadi $60 kutegemea ain ya bidha husika.

Hivyo kwa upande wako, ni sawa kabisa, kwa item ya $6 kutakiwa kulipia TZS. 360,000 ( wnachukulia wewe ni mfanya biashara mkubwa na unahitaji sample kwa hara)

Je nini unatakiwa kufanya.
  • Tumia retail stor kama | aliexpress.com
  • ambapo shipping cost huwa iko wazi na ni nafuu san.
 
Anayeuz jez toreo jipya Kam vile arsenal na man u
Zinapatikana ebay kwa kila timu utakayohitaji, ia kwenye officia website ya timu husika

Mfano kwa ebay

Kwa US $53 + $18 = Manunuzi yatakuwa yamefanyika
=
Kwa officia store ni kama hii | Manchester United Online Store, Official Man United Clothing, Manchester United Merchandise | United Direct

=

=
Unachotakiwa kufanya
1. Tembelea ebay au officia store ya tmu husika
2. Chagua kwa kadri ya mahitaji.
3. Nipe link nitakupa ghalama ya kufikisha hapa nchini.
 

Code:
https://www.dubuy.com/tz-en/computer-electronics/cp
 
Hao Alibaba wameniuliza Kama Nina agent China wanitumie parcel kule kwa Bei nafuu.
Hii imekaaje
 
Hii imekaaje
- Utalipia usafirishaji kwa awamu mbili.

1. Toka kwa muuzaji hadi kwa agent wako ( baada ya kumpa anwani husika)
2. Utalipa ghalama ya agent ya kukusafirishia hadi tanzania ( kila agent huwa na gahrama zake kutegemea ukubwa wa mzigo na uzzito wa mzigo)

- Bada ya mzigo kufika nchini iwapo kuna swala la kodi utalipia pia agnt wako atafuatilia na kukupa mchanganuo wa gharama.
 

Code:
https://www.cat-fahrerclub.de/en/clothing/cat-polo-brian-caterpillar.htm#/2-size-m
 
Je utaweza kuwahi?

Inatakiwa ndani ya masaa 3, Niwe nimekamilisha deal, Ni check whatsapp 0788 203 160


  • Item iko kwenye mnada.
  • Muda uliobakia 3hrs
  • Je utaweza kuwahi huu muda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…