Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu habari, nahitaj mashine ya kukandia unga wa ngano ya kg 12 au kg 8 waweza niagizia china kwa garama Gani hadi kunifikia geita?
 
Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo.

Mimi na office Japan Tanzanzia SouthAfrica Johannesburg na Capetown Dubai, promo nafanya ndio maana niko na wewe hapo,sababu ya kukuambia hivyo naona unafanya promo za makampuni mengine ndio maana na mmi nikaomba uniweke kwenye list ya haya makampuni sio kwaubaya.
 
Kama promo unafanya usingemuomba Mwl. RCT awaelekeze wateja wake kwako. Mpaka unaomba it means huna advertisement unayoifanya ya hiyo site yako.

Na juzi uliingia kwenye Uzi wa Teacher ukaanza eti Ooooh wewe Mwl. RCT sikuelewi na blah blah kibao, mambo hayaendi hivyo mzee.
 
Naweza pata hii kwa 87k pisi moja?
1. Imeandikwa Bei ya manunuzzi , Sawa, Je umeangalia shipping cost ni ngapi? | Chakufanya add kwenye cart kisha angalia total inakuja ngapi.

2. Apps zinatumia rate za google | Ni makadilio kwa TZS, ila ghalama halisi itatokna na rate ya USD utakayopewa, huwa iko juu kiasi | Baadhi ya update hapa: Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa , Ila kwa sasa rate inafika hadi USD 1 = 2,800

3. Ongeza handling charges za huduma | Angalia post number 1 kwenye hii thread. Kisha fanya hesabu na karibu kwa huduma ya manunuzi.

Hitimisho: Hauwezi kupata kwa 87,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…