ndio vitakuwa sawa, bila shaka wametoa condition ya kupata hicho kitabu kwa ghalama nafuu mfanoso hapo unasemaje icho cha dola 1 kinaweza kuwa sawa na dola 50?
Iwapo umejiunga na Amazon Prime - ndio utapata 2days free shipping kwa bidhaa zitazopokelewa ndani ya USA kama umenunua amazon USA, UK kwa amazon UKN.B hapo kwa mujibu wa description vyote ni NEW.
kingine ile PRIME wanasema free shipping ama dola 13 . Nieleweshe hapo
- Bei ya vitabu vilivyotumika huwa ndogo ukilinganisha na kipya.Kingine hapo kwnye new and used ni kuna tofauti kubwa kuanza bei ndogo hadi bei kubwa kuliko ma vyote wanasema ni new...sasa hapa inakuaje mana wengi wanaamini kua bei kubwa mdo bora zaidi na qualityView attachment 414583
Kitabu ni hicho hicho na ubora wake ni ule ule.Cheki hivi vyote wanasema ni NEW lakini bei zinatofautiana...sijaelewa na quality ya book nayo inachange amaView attachment 414587
HabariMkuu nilikua nahitaji generator za kW 12000, mbili bei imekaaje? Na kuzileta huku gharama zake zipo vipi?
UTARATIBU WA KUNUNUA BIDHAA - BUY4ME
Utafuata hizi hatua
1. Tafuta bidhaa unayoihitaji toka tovuti tofauti tofauti.
2. Chagua bidhaa husika unayohitaji katika tovuti uliyo chagua mfano kama ni ALIEXPRESS, SOUQ, AMAZON (.com, .in, .uk ) au EBAY (.in, .com, .uk)
3. Nipe link ya hiyo bidhaa unayohitaji na uliyochagua.
Utanipa link kupitia email au whatsapp au PM
4. Nitaikagua link husika na Nitakujulisha gharama kwa TSH inayotakiwa kulipwa.
Sasa kama hivo vya bei rahisi hawaship huku nitafanyaje sasa?Kitabu ni hicho hicho na ubora wake ni ule ule.
Mfano kwa hiki kitabu Smith and Hogan's Criminal Law 14th Edition tofauti ya bei ni kuwa.
- Kitabu cha bei ndogo us $40 muuzaji hatumi nje ya nchi husika kama ni UK au USA
- Wakati kitabu hicho hicho kwa US $60 + $13 shipping - Muuzaji anatuma mahala popote nje ya nchi yake
Sasa mfano ninataka icho cha bei ndogo kuliko vyote ambacho hawaship Tanzania...wewe utanifanyia shipping kwa bei gani?Kitabu ni hicho hicho na ubora wake ni ule ule.
Mfano kwa hiki kitabu Smith and Hogan's Criminal Law 14th Edition tofauti ya bei ni kuwa.
- Kitabu cha bei ndogo us $40 muuzaji hatumi nje ya nchi husika kama ni UK au USA
- Wakati kitabu hicho hicho kwa US $60 + $13 shipping - Muuzaji anatuma mahala popote nje ya nchi yake
Habari
Ingia EBAY tafuta aina ya generator unayohitaji, kisha utanijulisha
Sasa mfano ninataka icho cha bei ndogo kuliko vyote ambacho hawaship Tanzania...wewe utanifanyia shipping kwa bei gani?
Lets say icho cha bei ndogo ambacho hawaship ni dola 40? Hapo inakuaje?
Mpaka hapo sasa nimekuelewa vizuri.View attachment 414664
KITABU CHA US $44.60
- Kitanunuliwa kwa $44.60 na kusafirishwa kwa $3.99 hadi NY - USA
- Ndipo kitasafirishwa kuja TZ kwa gharama ya US $27.14
Jumla itakuwa = 48.59 + 27.14 = $75.73
Ukiweka na ghalama zangu jumla itakughalimu $80
1. Fuata maelekezo kwenye post ya kwanza, Malipo yote hufanyika kwanzaMpaka hapo sasa nimekuelewa vizuri.
1. Sasa kitabu kikishafika bongo ndo nakulipa iyo dola 80 jumla ama?
2. Iyo dola 27 ya kutuma kitabu kimoja mbona kubwa sana,? Umeichanganua vp?
2. Iwapo umenunua bidhaa toka soko kundi B – Ghalama ya kusafirishia hutegemea UZITO wa bidhaa husika katika KILO (Kg) au katika POUND (LB) na kiwango cha fedha hutokana na kila 0.5kg ya bidhaa yako. kwa huu utaratibu
Mfano:
a) 0.1 - 0.5kg Gharama ya kusafirisha ni USD 15
b) 0.6 – 1kg Ghalama ya kusafirisha ni 27.14 USD
c) 1.1kg – 1.5kg Gharama ya kusafirisha ni 38.94 USD
d) 1.6kg – 2kg Gharama ya kusafirisha ni 50.74 USD
Sawa hapo nimekuelewa. Swali lingine, ni njia gani rahisi , ukakika na CHEAPEST kuliko zote ya ku-ship lets a say a book kutoka U.S kuja Tz?1. Fuata maelekezo kwenye post ya kwanza, Malipo yote hufanyika kwanza
2. Lejea mchanganuo hapoa juu
- Tafuta muuzaji mwenye free shipping kuja Tanzania hasa ebay .comSawa hapo nimekuelewa. Swali lingine, ni njia gani rahisi , ukakika na CHEAPEST kuliko zote ya ku-ship lets a say a book kutoka U.S kuja Tz?
Hapana, nadhani hujaelewa swali langu.- Tafuta muuzaji mwenye free shipping kuja Tanzania hasa ebay .com
- Au mtafute mtu (ndugu, jamaa au rafiki) anayesafiri hivi karibuni toka USA kuja TZ ili akubebea vitabu bila ghalama yeyote.
- Nje ya hapo hakuna.
Thread Rejea
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
Ni kweli baadhi ya list kwenye online store huwa ni za kutiliwa mashaka.Sorry mkuu,nachek ebay apa windows tablet,nme sort lowest price + shipping, naona bei za chini ya dollar 50 kibao..
Sasa hapa ndo km siamin,tablet tna zna windows 8 n above alaf mara dollar 8..mjuzi naomba darasa
UTARATIBU WA KUNUNUA BIDHAA - BUY4ME
Utafuata hizi hatua
1. Tafuta bidhaa unayoihitaji toka tovuti tofauti tofauti.
2. Chagua bidhaa husika unayohitaji katika tovuti uliyo chagua mfano kama ni ALIEXPRESS, SOUQ, AMAZON (.com, .in, .uk ) au EBAY (.in, .com, .uk)
3. Nipe link ya hiyo bidhaa unayohitaji na uliyochagua.
Utanipa link kupitia email au whatsapp au PM
4. Nitaikagua link husika na Nitakujulisha gharama kwa TSH inayotakiwa kulipwa.
5. Utafanya malipo kwa utaratibu wa malipo uliowekwa.