Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari Mwl.RCT,ni site gani nayoweza kupata quality used laptop kwa bei nzuri?
 
Tumia hizi link kufanya uchaguzi wa simu utakayohitaji
Code:
1. https://www.ebay.com/rpp/samsung-galaxy

2. https://goo.gl/gW57dS
Mwalimu, nataka niagize samsung led flat screen 55" . sijajua bei yake na gharama zote zipoje, ikiwezekana unisaidie wewe maana nmeona umewasaidia wengi humu na hakuna utata
 
Mwalimu, nataka niagize samsung led flat screen 55" . sijajua bei yake na gharama zote zipoje, ikiwezekana unisaidie wewe maana nmeona umewasaidia wengi humu na hakuna utata
PICHA

MODEL: UN55MU6300 55-Inch 4K Ultra HD Smart LED TV (2017 Model)

BEI: 2,845,134 (Manunuzi na Kuifikisha DSM )

KODI/ VAT: Itajulikana baada ya mzigo kufika nchini, Mamlaka husika watatupatia kiwango cha fedha cha kulipia

MUDA: Ndani ya siku 14 mzigo utakuwa nchini Toka USA

LINK
Code:
https://www.amazon.com/Samsung-Electronics-UN55MU6300-55-Inch-Ultra/dp/B06XGJX3SH/ref=dp_ob_title_ce
NJIA YA MALIPO
(a) Bank deposit au
(b) Mobile Banking
Nitakujulisha zaidi ukiwa tayari kufanya malipo.
 
kwa uzoefu wako, kodi wanaweza sema bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…