Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari nisaidie kujua mpaka naipata gharama ni ngapi na itachukua muda gani?SEPTIC AIR PUMP
 
Habari nisaidie kujua mpaka naipata gharama ni ngapi

Kutakuwa na awamu tatu za malipo kwa kutegemea vipengele hivi vitatu, Kwa sasa hakuna ghalama kamili inayofahamika
  • 1. Manunuzi na kuufikisha mzigo hadi ofisini katika mji wa Kelsterbach (Germany), ndipo usafirishe kuja Tanzania
- Hii ghalama itajulikana baada ya kumhakikishia seller kuwa nitaununua huu mzigo, .


  • 2. Ghalama ya kusafirisha kutoka Germany kuja Tanzania - Hii itatokana na uzito wa package ya mzigo husika, item weigh inaonekana ni 7kg, ila haijafahamika ikiwa na vifungashio uzito utafika kilo ngapi?, Hivyo ghalama itajulikana baada ya mzigo kufika ofisini Kelsterbach (Germany)

  • 3. Kodi /VAT - Pia haifahamiki mamlaka husika itahitaji kodi kiasi gani; Ghalama itajulikana baada ya mzigo kufika nchini.
Hivyo iwapo uko tayari kufanya malipo kwa awamu tatu, mzigo nitaufikisha nchini.
itachukua muda gani?
MUDA: Mzigo utachukua wiki mbili kufika tanzania
 
Nashukuru kwa ufafanuzi ,nipo tayari kwani nahihitaji hii kitu ,nipe utaratibu tunafanya vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…