Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mkuu hapo na mambo ya kodi ni inclusive kwa bei hiyo??
Hapana
Mamlaka husika ndio uhutaja kiwango cha VAT au KODI kama itahitajika kwa huu mzigo wako, Itafahamika mzigo ukifika nchini.
Jukumu langu ni kununua na kukusafirishia hadi Tanzania, na kukujulisha iwapo mzigo umetozwa kodi au la pindi ufikapo.
 
Mwalimu ninahitaji unifundishe jinsi ya kufanya manunuzi mfano E bay sina ufaham kabisa
 
Mkuu naitaka hii kitu nitakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…