Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #1,801
Hapanamkuu hapo na mambo ya kodi ni inclusive kwa bei hiyo??
Mamlaka husika ndio uhutaja kiwango cha VAT au KODI kama itahitajika kwa huu mzigo wako, Itafahamika mzigo ukifika nchini.
Jukumu langu ni kununua na kukusafirishia hadi Tanzania, na kukujulisha iwapo mzigo umetozwa kodi au la pindi ufikapo.