Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl Rct nashukuru mzigo wangu wa simu ya xiaomi note 4 niliupata salama Na ndani ya muda ulioahidi.Nimependa unavyojibu maswali ya mteja Kwa haraka.Good job brother!
Jamaa anajua nini anafanya, ukiwa ndio unaanza kufanya nae biashara unaweza kuwa na wasi wasi kweli lakini mkuu wala SIO tapeli na ana kauli nzuri kwa mateja wake.
 
Mkuu nichekie hii hadi naivaa nalipa Tshs ngapi?
HD 1280*960 Spy Wrist 8gb DV Watch Video Hidden Camera DVR Waterproof Camcorder# | eBay
 
Nikilipia gharama hiyo mzigo utanifikia mpaka nilipo au kuna gharama nyingine itakayoongezeka...
Hii ni ghalama ya kuufikisha mzigo Dar.
- Iwapo upo Dar utakuja kuuchukua mzigo bila ghalama nyingine yeyote.
- Iwapo upo mkoani, basi utalipia TZS 15,000 ya kutumiwa mzigo wako kwa EMS, haya malipo ya EMS ni baada ya mzigo kufika

NB:
Iwapo mamlaka ya mapato ikihitaji ulipie VAT/ KODI itafahamika baada ya mzigo kufika.
 
Dah! Hapo parefu mkuu..... Chini ya laki nne labda ntapatai ipi yenye 64 gb, 4g Wi-Fi na camera nzuri. Xiaomi au lenovo au brand yoyote yenye akili?
Ingia aliexpress tafuta brand zisizo na majina makubwa utapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…