Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #401
1. Pitia hii thread, hasa post number moja: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)Asante, lakini unaonaje ukinisaidia kupata anwani kama yako?
2. Kwenye (1) hapo juu, ulichojifunza ni kuwa utapa anwani ya USA kupitia kampuni kama MYUS, COMGATEWAY etl
- Tatizo kubwa la hizi kampuni za USA ni tozo kubwa ya ghlama za usafirishaji
- Wanachaji mara mbili (a) kwa kuzingatia uzito (b) Kwa kuzingatia Ujazo yaani WIDTH * LENGHT * HEIFHT (wanaita volumetric weight)
3. Kile kinachofanya na kampuni kama MYUS - ni kuwa unapatiwa anwani moja tu ya USA
- Ninachofanya mimi kupitia hudma yangu ninaweza kukupa anwani kwa mataifa zaidi 15 duniani ikiwemo USA, UK, JAPAN, GERMAN, FRANCE, DUBAI, INDIA, SOUTH AFRICA, THAILAND, KOREA etl
- Ghalama zangu mimi hutegemea kipengele kimoja tu UZITO WA BIDHAA HUSIKA
NB- Huwa tunajifunza kwa kufanya jaribio hai, Fanya hivi
1. Nunua kitu amazo cha dola $10 tu - (nunua items mbili)
2. (a) Item moja safirisha kwa njia ya MYUS au COMGATEWAY au kampuni yeyote utakayo chagua
(b) Item ya pili tumia huduma ya SHIP4ME toka kwangu - ambapo utatumia anwani nitakayokupa
3. Fanya assessment ya ghalama (a) kupitia kampuni zilizoelezewa kwenye thread niliyokupa (b) Ghalama kupitia huduma yangu
4. Nimekuja na hii huduma BUY4ME, PAY4ME, & SHIP4ME - baada ya kupitia changamoto nyingi sana kuhusu manunuzi mtandaoni hasa kwa masoko ya marekani ambapo hawatumi direct kuja Africa
Kuhusu mchanganuo wa kodi tumia hii link: Kukatwa kodi kwa mizigopia naomba kujua nikinunua camera ya $1000 ikifika bongo nitatakiwa kulipia tax na vat kiasi gani TRA?
Kwenye Post number nne (#4) weka kiwango chako cha bidhaa unayotaka kununua