Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Asante, lakini unaonaje ukinisaidia kupata anwani kama yako?
1. Pitia hii thread, hasa post number moja: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

2. Kwenye (1) hapo juu, ulichojifunza ni kuwa utapa anwani ya USA kupitia kampuni kama MYUS, COMGATEWAY etl
- Tatizo kubwa la hizi kampuni za USA ni tozo kubwa ya ghlama za usafirishaji
- Wanachaji mara mbili (a) kwa kuzingatia uzito (b) Kwa kuzingatia Ujazo yaani WIDTH * LENGHT * HEIFHT (wanaita volumetric weight)

3. Kile kinachofanya na kampuni kama MYUS - ni kuwa unapatiwa anwani moja tu ya USA
- Ninachofanya mimi kupitia hudma yangu ninaweza kukupa anwani kwa mataifa zaidi 15 duniani ikiwemo USA, UK, JAPAN, GERMAN, FRANCE, DUBAI, INDIA, SOUTH AFRICA, THAILAND, KOREA etl
- Ghalama zangu mimi hutegemea kipengele kimoja tu UZITO WA BIDHAA HUSIKA

NB- Huwa tunajifunza kwa kufanya jaribio hai, Fanya hivi
1. Nunua kitu amazo cha dola $10 tu - (nunua items mbili)
2. (a) Item moja safirisha kwa njia ya MYUS au COMGATEWAY au kampuni yeyote utakayo chagua
(b) Item ya pili tumia huduma ya SHIP4ME toka kwangu - ambapo utatumia anwani nitakayokupa
3. Fanya assessment ya ghalama (a) kupitia kampuni zilizoelezewa kwenye thread niliyokupa (b) Ghalama kupitia huduma yangu

4. Nimekuja na hii huduma BUY4ME, PAY4ME, & SHIP4ME - baada ya kupitia changamoto nyingi sana kuhusu manunuzi mtandaoni hasa kwa masoko ya marekani ambapo hawatumi direct kuja Africa

pia naomba kujua nikinunua camera ya $1000 ikifika bongo nitatakiwa kulipia tax na vat kiasi gani TRA?
Kuhusu mchanganuo wa kodi tumia hii link: Kukatwa kodi kwa mizigo

Kwenye Post number nne (#4) weka kiwango chako cha bidhaa unayotaka kununua
 
Ndugu tyson.N

Kiasi utakacholipia ni TZS 130,088 - Hadi kuupokea mzigo wako

upload_2017-3-15_10-8-54.png


Mawasiliano whatsapp: +255 784 496 856
 
View attachment 472515
1. manunuzi na kuufikisha mzigo ofisi za USA ni USD $25.27

2. Ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania itatokana na Uzito wake - itajulikana baada ya mzigo kupokelewa na kupimwa uzito

Hivyo kutakuwa na awamu mbili za malipo

Ukiwa tayari kufanya manunuzi nijulishe

sms/call 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41 / 0784 496 856 au
Whatsapp +255 784 496 856 au
JF PM
Sijaingia kitambo humu, shukran kwa taarifa, nimejaribu kuangalia item weight ni 1.8 pounds=0.816466kg
Kwa makadirio yako mpaka kufika TZ ita cost kiasi gani?
 
Nikupongeze mkuu,nchi kama zetu hizi unafanya huduma muhimu sana,kwa uaminifu wako utafika mbali,huaminifu huwa ni changamoto sana kwenye hizi biashara za mtandaoni,Yaani sijui nikupe hongera ya namna gani kwa hiki unachokifanya,
 
NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
>> Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)
Pitia hii thread, utapata mwanga zaidi.

DASHBOARD YA TRACKING YA MIZIGO YA WATU
View attachment 482070
1563854603606.png

View attachment 482071
1563854627853.png

courier gani?
- Situmii ccourier mmoja, ni tofauti tofauti
- Hii hutegemea mzigo unatoka nchi gani
- Pitia hii link utajifunza kuhusu courier tofauti tofauti: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

Pia pitia commet No.403 HAPA www.v.ht/buy4me

KARIBU

Chanzo
> Kununua bidhaa katika masoko(online Market) ambayo hayasafirishi bidhaa kimataifa(nje ya nchi zao)
 
Nikupongeze mkuu,nchi kama zetu hizi unafanya huduma muhimu sana,kwa uaminifu wako utafika mbali,huaminifu huwa ni changamoto sana kwenye hizi biashara za mtandaoni,Yaani sijui nikupe hongera ya namna gani kwa hiki unachokifanya,
Shukrani sana mkuu
 
Back
Top Bottom