Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2017-4-26_19-9-29.png


Kiasi utakacholipia ni TZS 281,501.14

NB
- Ni free shipping
- Inachukua kati ya wiki 3 hadi 4 kwa simu kufika
- Iwapo utahitaji kwa haraka smu itasafirishwa kwa DHL, ghalama ni US $40 zaidi - ambapo simu utaipata ndani ya siku 9
upload_2017-4-26_19-14-1.png


KARIBU
 
habari kaka..mimi nahitaji motherboard ya hp probook:
6570b
i5 intel
je itanigharimu kiasi gan hadi kuipata?
 
poa kaka ila kama utapata seller alie serious ktk mitandao mengine nitafutie tu

- Manunuzi US $95
- Kusafirisha + My charges US $16

Ref
Code:
 http://www.ebay.com/itm/NEW-HP-PROBOOK-6570B-LAPTOP-NOTEBOOK-MOTHERBOARD-686972-001-686972-501-TESTED-/182032341491/?_ul=HN
 
Back
Top Bottom