Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu ndio maana mwalimu amenikimbia,
Avatar yako inanidhiaki
Avatar yangu inakufanyia nini vile?!.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu ndio maana mwalimu amenikimbia,
Avatar yako inanidhiaki
Avatar yangu inakufanyia nini vile?!.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waalike wana JF wengine kwenye hii thread[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Okay hakuna matataUPDATE 4
- Rich Ze Best Mzigo wako utaingia inchini ndani ya muda mfupi.
- Bado uko njiani.
View attachment 510872
Itachukua mda gani kunifikia?- Hakuna malipo yeyote kwa channel utakazo pata.
Check pmJe inapatikana kwenye webpage ipi?
Nipatie link yake.
Tatizo ni njia ya malipo[1], Aliexpress hawatumii paypal bali wanatumia alipay. Kwa uzoefu wako vipi usalama wa mtandao huo hususani [2] ktk malipo na vipi kuhusu shiping mizigo inafika??[3]
- Sijawahi kukutana na hili swala la kulipia mzigo nairobi.Kuna mdau aliwahi kulalamika kuwa mzigo wake ulinasa poster ya nairobi kenya eti hadi ulipie, nimekuwa na hofu pia mzigo wangu usijepitishwa Nairobi yakanikuta yaliyomkuta mwenzetu humu.
Mkuu, nakushukuru sana, umetoa ufafanuzi uliojitosheleza sana na pia umenishirikisha na uzoefu wako. Nathamini mchango wako. Ahsante sana.View attachment 511495
[1] Aliapay ni njia ya malipo iliyosalama kama ilivyo kwa Paypal etl - Ni baada ya kuthibisha kuwa umepokea mzigo ndipo seller anapewa fedha yako.
- Ili kuepuka kuingiza taarifa zako za kadi ya benki kila ufanyapo malipo, unatakiwa ku_add/link card yako alipay, yaani kama ulivyo link kadi yako na paypal.
[2] Aliexpress ni salama, rejea maelezo ya [1] hapo juu, piaukiangalia picha hapo juu, nimenunua bidhaa kwa zaidi ya mara 240, na mizigo yote imefika. Mizigo saba natarajia kupokea ndani ya wiki 1 -2
[3] Mizigo yote inafika.
- Sijawahi kukutana na hili swala la kulipia mzigo nairobi.
- Utalipiwa vipi mzigo nairobi wakati uko njiani kwenda nchi nyingine husika??