Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

UPDATE 4
- Rich Ze Best Mzigo wako utaingia inchini ndani ya muda mfupi.
- Bado uko njiani.
upload_2017-5-18_8-26-49.png
 
Itachukua mda gani kunifikia?
Inategemea shipment speed utakayochagua/kulipia kuna
siku 5 - 9 : Express
Siku 14 - 21 : Standard
Siku 23 - 35 days : Free Economy
 
Mwl. RCT , nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay mara nyingi sana na ninaweza kusema kwa sasa nina uzoefu wa kununua huko. Hivi karibuni nimekuwa nikilinganisha bei za ebay na Aliexpress, nimegundua Aliexpress bei za vitu ni rahisi sana. Tatizo ni njia ya malipo, Aliexpress hawatumii paypal bali wanatumia alipay. Kwa uzoefu wako vipi usalama wa mtandao huo hususani ktk malipo na vipi kuhusu shiping mizigo inafika?? Kuna mdau aliwahi kulalamika kuwa mzigo wake ulinasa poster ya nairobi kenya eti hadi ulipie, nimekuwa na hofu pia mzigo wangu usijepitishwa Nairobi yakanikuta yaliyomkuta mwenzetu humu.
 
Tatizo ni njia ya malipo[1], Aliexpress hawatumii paypal bali wanatumia alipay. Kwa uzoefu wako vipi usalama wa mtandao huo hususani [2] ktk malipo na vipi kuhusu shiping mizigo inafika??[3]
upload_2017-5-19_15-53-40.png

[1] Aliapay ni njia ya malipo iliyosalama kama ilivyo kwa Paypal etl - Ni baada ya kuthibisha kuwa umepokea mzigo ndipo seller anapewa fedha yako.
- Ili kuepuka kuingiza taarifa zako za kadi ya benki kila ufanyapo malipo, unatakiwa ku_add/link card yako alipay, yaani kama ulivyo link kadi yako na paypal.

[2] Aliexpress ni salama, rejea maelezo ya [1] hapo juu, piaukiangalia picha hapo juu, nimenunua bidhaa kwa zaidi ya mara 240, na mizigo yote imefika. Mizigo saba natarajia kupokea ndani ya wiki 1 -2

[3] Mizigo yote inafika.
Kuna mdau aliwahi kulalamika kuwa mzigo wake ulinasa poster ya nairobi kenya eti hadi ulipie, nimekuwa na hofu pia mzigo wangu usijepitishwa Nairobi yakanikuta yaliyomkuta mwenzetu humu.
- Sijawahi kukutana na hili swala la kulipia mzigo nairobi.
- Utalipiwa vipi mzigo nairobi wakati uko njiani kwenda nchi nyingine husika??
 
Hii inaweza kuwa msaada kwangu,kuna ndugu yangu yupo Bara la Asia anataka kunitumia mzigo?
 
View attachment 511495
[1] Aliapay ni njia ya malipo iliyosalama kama ilivyo kwa Paypal etl - Ni baada ya kuthibisha kuwa umepokea mzigo ndipo seller anapewa fedha yako.
- Ili kuepuka kuingiza taarifa zako za kadi ya benki kila ufanyapo malipo, unatakiwa ku_add/link card yako alipay, yaani kama ulivyo link kadi yako na paypal.

[2] Aliexpress ni salama, rejea maelezo ya [1] hapo juu, piaukiangalia picha hapo juu, nimenunua bidhaa kwa zaidi ya mara 240, na mizigo yote imefika. Mizigo saba natarajia kupokea ndani ya wiki 1 -2

[3] Mizigo yote inafika.

- Sijawahi kukutana na hili swala la kulipia mzigo nairobi.
- Utalipiwa vipi mzigo nairobi wakati uko njiani kwenda nchi nyingine husika??
Mkuu, nakushukuru sana, umetoa ufafanuzi uliojitosheleza sana na pia umenishirikisha na uzoefu wako. Nathamini mchango wako. Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom