Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu, Xiaomi Redmi 5Plus Ram 4GB 64GB Rom AliExpress kupitia kwako hadi inanifikia huku Mwanza jumla ya shilingi ngapi nitalipa?
TZS 620,154
Muda: Wiki 3 - 5
upload_2018-4-9_6-6-40.png
 
Ni rahisi lakini Kuna cost za kusafirisha bidhaa+kodi.inategemea na bidhaa unayotaka nunua
Huwa nanunua sana mkuu, nikweli kuna costs hasa kwenye usafiri na inahitaji umakini, ila sijawahi kuona ugumu wake
 
Yah Hamna ugumu kama ukijipanga
Huwa nanunua sana mkuu, nikweli kuna costs hasa kwenye usafiri na inahitaji umakini, ila sijawahi kuona ugumu wake
Kuna site za bidhaa ambazo mnunuzi wa kawaida hawezi kununua bidhaa kutokana na limitation zilizopo.

Hapo ndipo huduma hii ya BUY4ME hufanya kazi.

Mfano
- Kuna bidhaa zinapatikana kiurahisi SOUTH AFRICA - Je wewe uliyezoea kununua ALIEXPRESS aua EBAY utaipata vipi hii bidhaa iliyopo south africa?

- Chukua mfano mwingine huu: Umetafuta bidhaa EBAY, na umeikuta inapatikana EBAY AUSTRALIA pekee, je utanunua vipi hii bidhaa na kuifikisha Tanzania??

Hapo ndipo hii huduma ya BUY4ME inahitajika.

Waweza kusema kuwa utatumia forwarding company kama MYUS / COMGATEWAY etl kama tulivyojadili hapa: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)
Ukweli ni huu hizi forwarding company zina limitation zake, Tuangalie hii mifano
- Je utawezaje kununua bidhaa AMAZON india?
- Je utawezaje kununua bidhaa UAE?
- Utawezaje kusafirisha bidhaa toka SOUTH AFRICA?

Utaona kuwa hizo forwarding company nyingi ni kwa masoko ya USA zaidi. au kwa mataifa mengine yasioyozidi Matano, na zina kikomo katika kutoa huduma.

JE KWANINI UTUMIE BUY4ME
  1. Unaweza kununua bidhaa toka mataifa 20 tofauti duniani na bidhaa ikakufikia Tanzania, sio USA na UK pekee ambapo forwarding company zingine zipo, BUY4ME itakufanyia manunuzi hata maeneo ambayo MYUS / comgateway hawezi kufika, ila BUY4ME inayafikia hayo mataifa na kufanikisha manunuzi na kusafirisha.

  2. Unaweza kusafirishiwa mzigo wako wowote toka haya mataifa 20 BURE kwa ndege kuja Tanzani, na malipo yake ukafanya hapa nchini kwa njia ya bank deposit au mpesa/ tigo pesa - BAADA YA MZIGO KUFIKA NCHINI.

    Nakupa mfano hai wa point namba mbili
    upload_2018-4-12_4-1-10.png

    Mfano
    - Manunuzi wa TV hii hapa juu toka amazon ni USD 1,175

    - Ghalama ya kusafirisha ni USD 785

    - Lakini kutokana na bajeti yako kuwa ndugo, unahitaji kulipia kwa awamu mbili,hivyo kupitia HUDUMA YA BUY4ME utaweza kulipia ghalama ya manunuzi pekee usd 1,175 na ghalama ya kusafirishia UTALIPIA NDANI YA SIKU 14 baada ya malipo ya awali au UTALIPIA BAADA YA MZIGO WAKO KUFIKA NCHINI

    - HIvyo kwa mfano huu waweza lipia fedha ya manunuzi mfano tarehe 15 ya mwezi MANUNUZI kwanza, na ghalama ya kusafirishia ukalipia mwishoni mwa mwezi NA BAADA YA KUWA MZIGO WAKO UPO TAYARI NCHINI. HUDUMA HII YA KULIPIA MARA MBIL, YA KULIPIA BIDHAA KWA AWAMU, HUWEZI KUIPTA MAHALA POPOTE PALE zaidi ya kupata kwa Mwl.RCT wa JF kupitia huduma hii ya BUY4ME
  3. Taratibu zote za clearance kwa mizigo unayotakiwa kulipiwa kodi hii kazi unafanyiwa na huduma hii ya BUY4ME wewe utasubiri kupokea mzigo tu

  4. Utasafirishiwa mzigo wako popote tanzania au nje ya tanzania baada ya mzigo kuwasili nchini
HITIMISHO
- Iwapo una swali au kuhitaji maelezo zaidi kuhusu haya maelezo niliyotoa waweza kuuliza.
- Hata wazoefu wa manunuzi mtandaoni huwa inafikia mahala huitaji hii huduma yangu ya BUY4ME

Karibu
 
Back
Top Bottom