Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWL RCT
Napenda kutoa shukrani kwa kunifanikishia kupata AMAZON FIRE STICK. kutoka USA kwa muda mfupi (siku 9) bila longolongo zozote. Kama unavyoona TV yangu ni 55" 3D hivyo nilikuwa sipendi kubanwa na channel za vinga'amuzi.
Pia CHIEF MKWAWA nakupigia saluti kwa umahiri ktk kazi zako za ufundi mpaka kunielimisha kupata hiki kifaa.
Pamoja sana.View attachment 751074View attachment 751076View attachment 751079
acha uongo mimi nmeagiza kupitia kwa MWLRCT mzigo ulifika na nikaupokea mwanza sijawahi kuonana nae hata siku moja kwanza mtake radhiTutatapeliwa kua makini
Karibu JF, inaonekan wewe ni mgeni.Tutatapeliwa kua makini
TZS 483,790DOOGEE BL12000 6.0 Inch 12000mAh Battery 12V/3A 4GB RAM 32GB ROM MT6750T 4G Smartphone Sale - Banggood Mobile
Mkuu naomba kujua gharama ya hii mpk kunifikia dar
Je nini unatakiwa kufanya.habari,naomba unijuze gharama ya hiki kimeo mpaka dsm,gharama zote + shipping cost na charges zako
link : Motorola Moto G5S Plus XT1806 - 32 GB - Lunar Grey (Unlocked) Smartphone | eBay
Nipatie link ya bidhaa husika, then nitakufikishia mzigo Tanzania.
Tayari nimekuandikia PM
Kaka msaada wako tafadhali... Is it possible? If Yes, how much? Then we can do something good.
Thank you kaka... I'll update you accordingly.
Mkuu sasa hivi usinunue kama hii imepitwa na wakati ndio maana natafuta fire stick, nenda na wakati.Mkuu hii tv umenunua sh nghap
Una maanisha.mpaka Super sport zoote?Mkuu naitaka hii kitu nitakutafuta
Tafadhali futa hiyo comment,mimi nimefanya biashara na MWL RCT gizani,yaani simjui na nimempa hela kwanza kabla ya mzigo na umefika na nilikuwa na track kwa code aliyonipa. Mzigo ulitoka USA.Tutatapeliwa kua makini
Una maanisha.mpaka Super sport zoote?
Na je natumia internate ya sim au ya dizain gani?