Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Natafuta comercial blender ila kila nikitafuta amazon au alibaba wanasema they dont ship to Tanzania
 
Natafuta comercial blender ila kila nikitafuta amazon au alibaba wanasema they dont ship to Tanzania
Nipatie link ya bidhaa husika, then nitakufikishia mzigo Tanzania.
 
Tutatapeliwa kua makini
Karibu JF, inaonekan wewe ni mgeni.

Hili bandiko ni tangu: Aug 19, 2016 , wengi wamehudumiwa, na kuridhika na huduma.

Je kwa jinsi unavyoifahamu JF kungekuwa na chembe chembe za mtu kutapeliwa je Hili bandiko lingeendelea kuwepo?
 

Attachments

  • moto g 5 s plus.png
    moto g 5 s plus.png
    100.5 KB · Views: 69
upload_2018-5-14_10-56-17.png

Habari
- Bidhaa unayohitaji iko kwenye mnada.
- Haiwezekani kununua kwa sasa, hadi ushiriki mnanda na ushinde kwa dau la juu.
habari,naomba unijuze gharama ya hiki kimeo mpaka dsm,gharama zote + shipping cost na charges zako
link : Motorola Moto G5S Plus XT1806 - 32 GB - Lunar Grey (Unlocked) Smartphone | eBay
Je nini unatakiwa kufanya.
- Baada ya ku_search item husika.
- Hakikisha una_click BUY IT NOW, ili kuondoa item zilizo kweny mnada.
- Ndipo fungua link husika na nipatie link yake.

Karibu
upload_2018-5-14_10-53-51.png
 
Screenshot_2018-05-15-22-22-54.png

Mkuu naomba nielekeze namna ya kuipata hiyo link. Simu ambayo nataka mniagizie ni hii hapa[emoji116] [emoji116]
 
Tutatapeliwa kua makini
Tafadhali futa hiyo comment,mimi nimefanya biashara na MWL RCT gizani,yaani simjui na nimempa hela kwanza kabla ya mzigo na umefika na nilikuwa na track kwa code aliyonipa. Mzigo ulitoka USA.

Nategemea kufanya na kazi nyingine,hivi karibuni na nitarudi hapa kuwapa mjazo nyuma au mrejesho kwa lugha mliozoea
 
Back
Top Bottom