Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2018-5-19_10-51-58.png

Ghalama: TZS 2,033,355
Muda: Ndani ya siku 14
 
Nisaidie Sijaelewa bei ( us $8-$19/set)
Hiyo ni FOB price, kwa sharti la kuchukua kuanzia 100pcs, Baada ya kuwasiliana naye seller, ndio atakupatia CIF price hadi Dar port.

Key word ingia google uangalie maana
- FOB price
- CIF price

Mfano wa FOB vs CIF
- Angalia hii gari, inauzwa USD.328 ( FOB)
- Ila ili ifike Dar port inatakiwa ulipie USD.1,962 (CIF)
upload_2018-5-27_6-4-33.png


upload_2018-5-27_6-4-16.png

 
Mwl. Na budget ya 250K nataka smartphone
Kwa pesa hii naweza pata simu ya Aina Gani.toka ngambo
Iwapo tutabakia hapo kwenye TZS 250,000 bila kuongeza basi simu ya kuchukua ni hii.
upload_2018-5-27_10-25-31.png


Mapendekezo yangu yamezingatia
- Muda wa simu kukaa na chaji.
- Ubora wa camera
- Quality ya kioo
- Muonekano kwa ujumla wake.
 
Back
Top Bottom