Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl naomba msaada wako wa hii kitu Tablet Huawei plz
IMG_20181019_095031.jpeg
 
eligibility ya hii bidhaa kufka huku, na sijaona shipping fee hapo,
Ghalama ya kusafirishia inatokana na uzito wa mzigo, Waweza nunua bidhaa kwa bei ndogo, Ila ghlama ya kusafirishia ikawa mara 3 ya ghlama ya manunuzi. Hii ni vyema ukanunua hapa nchini.
1539968056329.png
 
Mkuu nahitaji samsung galaxy c8 iwe 64gb,dual sim,4g,black color
 
samsung galaxy c8 iwe 64gb,dual sim,4g,black color
TZS 946,845

Muda: Ndani ya siku 14

Angalizo:
- Baada ya mzigo kufika, Utatakiwa kulipia kodi/ vat
- Ghalama itajulikana baada ya mzigo kufika
 
Nitajaribu kuagiza one day maana hapa sijui chochote naamini mwalimu atanisaidia
 
TZS 946,845

Muda: Ndani ya siku 14

Angalizo:
- Baada ya mzigo kufika, Utatakiwa kulipia kodi/ vat
- Ghalama itajulikana baada ya mzigo kufika
mkuu hivi ghalama ya kodi si ile 18% au uwaga adi waangalie na mzigo wenyewe
 
Back
Top Bottom