Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Xiaomi redmi note 7
1575416838337.png

Xiaomi Redmi Note 7
6GB RAM
64GB ROM

TZS. 436,760
 
Samahani mkuu siwezi pata seti kama hii kwa gharama ndogo zaidi mfano 150,000 hadi 200,000 maana ndo tunaanza kutafuta sasa mtaji haujatosha
Hii seti ina vifaa vichache na inauzwa TZS 155,000
1575430779084.png
 
mbona inatisha kuliko bei yake[emoji2955][emoji2955]
Phone function parameters

Brand: KIMTIEN
Name: Mate 31 pro
Colour:Black Green Purple
RAM:8GB
ROM:128GB
Front camera:16.0MP
Rear camera:32.0MP
CPU:MTK6598 10 cores
Operating system: Android 9.1 system
Face unlock: support
Fingerprint unlock: support
WIFI:WLAN hot spot,802.11b/g/n
Bluetooth:Bluetooth4.0
G-sensor:support
Battery:4500Mah/4.35V
The headset:3.5
Expanded memory:Maximum support 128GB
Screen size:19:9 6.6"Incell HD+ LCD 2400*1176

Package Contents

1 x Phone
1 x Built-in Battery
1 x Mirco USB Cable
1 x Eject Pin
1 x User Manual
1 x Power Adapter
1575448736874.png
 
vp kuhusu hii decoder kwa ajili ya kupata fta channels?
1, DVB-S2(FULL HD 1080P)( Builtin wifi, support H.265, AVS+ )

2 Support PowerVu, DRE &Biss key

3, Support DLNA, SAT To IP

4, Support Unicable

5, Support Satellite EPG

6, Support Built-in WIFI module, Ethernet,Full speed 3G usb dongle,PVR Ready

7, Support WEB TV,IPTV,Youtube,Youporn,Redtube

8,Support Weather forecast,Jamendo,Yahoo news, Picture etc.

Inakidhi mahitaji, ni decoder ya kisasa zaidi.
1575784020131.png

BEI: TZS. 183,000

MUDA: Wiki 3 kufika nchini

NJIA YA MALIPO: Mobile Benking
1575784145659.png
 
Ili upate channel za Bure inahitaji uwe na nini na nini Mkuu?
1, DVB-S2(FULL HD 1080P)( Builtin wifi, support H.265, AVS+ )

2 Support PowerVu, DRE &Biss key

3, Support DLNA, SAT To IP

4, Support Unicable

5, Support Satellite EPG

6, Support Built-in WIFI module, Ethernet,Full speed 3G usb dongle,PVR Ready

7, Support WEB TV,IPTV,Youtube,Youporn,Redtube

8,Support Weather forecast,Jamendo,Yahoo news, Picture etc.

Inakidhi mahitaji, ni decoder ya kisasa zaidi.

BEI: TZS. 183,000

MUDA: Wiki 3 kufika nchini

NJIA YA MALIPO: Mobile Benking
A
 

Attachments

  • 1575807950278.png
    1575807950278.png
    308.2 KB · Views: 1
Mwl.RCT,
Kwa maana hiyo ni kama clone? Maana nimepita gsm nikawa nimechamganyikiwa kidogo kuhusu bei zake
 
Kwa bei inaweza kuzid ?
Bei ya manunuzi na kufikisha nchini, haiwezi kuzidi. Itabakia kiasi hiko tajwa.

Mzigo ukifika nchini, iwapo utatakiwa kulipia KODI/ VAT itajulikana wakati huo.
 
Back
Top Bottom