Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #3,801
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ya awali ni TZS: 736,000Hyundai HY7524 5.2CFM, 1HP, 24 Litre Oil Free Direct Drive Silenced Air Compressor
Mwl.RCT , hiyo air compressor ni Tsh ngapi mpaka naipokea mikononi mwangu? Ukinifanyia BUY4ME.
Pitia mchanganuo. Kuna gharama za tozo za VAT/Tax na Clearance itajulikana mzigo ukifika nchini.naipokea mikononi mwangu?
Malipo ya awali ni TZS: 736,000
Malipo yatakayofuata
#1. Gharama za usafirishaji - Itatokana na uzito wa package yote ya mzigo itakuwa ni KG ngapi jumla, Uzito wa hii compressor bila package ni 22.5kg sawa na 569.94 USD [TZS 1,425,000 ]
View attachment 1565742
#2. Clearance + VAT / Tax - Hii gharama itajulikana baada ya mzigo kuwasili nchini.
Hivyo kwa sasa andaa TZS. 2,161,000 kama gharama za awali za kufikisha mzigo Dar.
Pitia mchanganuo. Kuna gharama za tozo za VAT/Tax na Clearance itajulikana mzigo ukifika nchini.
Sahihi, Kwa baadhi ya bidhaa ni vyema kununua hapa hapa nchini. Sababu wafanya biashara wakubwa huingiza mzigo mkubwa kwa njia ya meli, hivyo gharama za usafirishaji kuwa ndogo sana.Kumbe ni bora mara mia kununua hapa hapa nchini.
Sahihi, Kwa baadhi ya bidhaa ni vyema kununua hapa hapa nchini. Sababu wafanya biashara wakubwa huingiza mzigo mkubwa kwa njia ya meli, hivyo gharama za usafirishaji kuwa ndogo sana.
Tumia www.aliexpress.com kutafuta simu unayohitaji. Sio alibabaMkuu Mwl.RCT huu mtambo unanishauri vipi kiongozi hebu jaribu kuipitia kiongozi.
Wholesale New Global Unlock 12GB 512GB Smartphone 6.9-inch Original Ten-Core Smartphone From m.alibaba.com
Tumia www.aliexpress.com kutafuta simu unayohitaji. Sio alibaba
mkuu inakuwa ngapi hiyo
View attachment 1566279
URLBei TZS. 1,320,900Code:https://www.amazon.com/dp/B07YQ8YQCW/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B07YQ8YQCW
Muda: Ndani ya siku 14 hadi 21
Nasubiria jibu toka kwa muuzaji
Sababu kwa alibaba gharama ya manunuzi + kusafirisha hujulikana baada ya kufanya mawasiliano na muuzaji.
Bei waziandikazo sio bei itakayolipiwa item husika.
Anaweza hata kutumia Alibaba ila wana minimum amount ya ku-order. Mfano kwa hii simu anatakiwa kununua si chini ya mbili.Tumia www.aliexpress.com kutafuta simu unayohitaji. Sio alibaba
Changamoto huwa kwenye njia ya isafirishaji, Kwa moja au mbili huitaji kutuma kwa Express kupitia DHL / ARAMEX wao huchukulia kama sample.Anaweza hata kutumia Alibaba ila wana minimum amount ya ku-order. Mfano kwa hii simu anatakiwa kununua si chini ya mbili.
Ooh kumbe.Changamoto huwa kwenye njia ya isafirishaji, Kwa moja au mbili huitaji kutuma kwa Express kupitia DHL / ARAMEX wao huchukulia kama sample.
Na freight cost huw ni kubwa.