Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

H21e90f41db4c438ebaea84e46b18f68bK.jpg



Hakiki maelezo ya kwenye hii link: 48.09€ 5% OFF|Original For Samsung Galaxy S6 Edge G925 LCD and S6 Edge Plus G928 G928F LCD Display Screen Assembly Replacement Parts No Frame|Mobile Phone LCD Screens| - AliExpress

Bei: TZS. 182,000

Muda wa kufika(Makadilio): Siku 23-43
Mkuu kioo cha S8 ni sh ngapi mpaka Bongo, maana huku Kariakoo vimesimama kwa 320k
 
Naweza pata order kupitia hii link?

Contact Address yao hii hapa
Office: Room 38,11/F, Meeco industrial Center, 53-55 Au Pui Wan St.,Fo Tan,N.T., Hong Kong (This is NOT for Return)NEWCHIC COMPANY LIMITED

Na je nikitaka niagiziwe mzigo kutoka Hong Kong kupitia address yenu nitumie ipi?
 
Code:
 https://www.amazon.com/dp/B093TK1PXF/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B093TK1PXF
Hii itakughalimu US $1,340.99

Kuifikisha Tz
71Pm7ieq-IS._AC_SL1500_.jpg
 
Ps4 Zaidi ya moja
Ndio waweza kupata

- Iwapo unahitaji nyingi mfano 100pcs za biashara- basi chagua muuzajia alibaba.com

- Iwapo unahitaji chache kati ya 1 hadi 5 waweza kuangalia ebay.com

Karibu
 
Back
Top Bottom