Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Je uko mkoa gani? | Iwapo upo Dar hakuna gahrama nyingine. Iwapo upo mkoani, mzigo ukifika utatumiwa kwa ghrama yako, Kwa EMS au kwa njia ya basi, wewe utapendekeza.

Sahihi, Ni jumla ya kila kitu.
Mkuu hii kitu napataje? Nimeweka link hapo chini

IMG_20240401_171407.jpg
 
Check the Auto Engine Systems on Alibaba app👉
Mkuu naomba niangalizie mpaka kushika mkononi sh ngap
 
Mkuu naomba niangalizie mpaka kushika mkononi sh ngap
1712212520391.png

Kuna taarifa nasubiria toka kwa seller, ili kuweza kukupa gharama husika.
  • Ukubwa wa package katika CBM
  • Shipping cost toka kwa seller hadi china port | kabla ya kuja Tz.
Akijibu nitakujulisha.
 
Back
Top Bottom